Chonde chonde mwanaume mwenzangu Usimuachie mkeo pesa chumbani

Huwa nafanya hivyo nikipata demu mpya, lengo ikiwa kumsogeza kwa wanangu…. mambo ya uzeeni itajulikana mbele.
 
Hizi ni fikra kandamizi dhidi ya mwanamke.

Huwezi kutoa hukumu kwetu sote kwa sababu ya mkeo mmoja mbinafsi.

Kuna watu wanaishi na wake zao vizuri,wake sio wabinafsi,watoto wanajua kwamba baba na mama ndio wanatuhudumia.

Huu ulioandika hapa ni ubinafsi na unataka kuhamishia tatizo lile lile kwa wanaume sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…