Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi, hivyo akaruhusu aondolewe, hivyo Spika ajaye tayari Mungu ameisha mpangia, na sisi baadhi yenu ni watu wa Mungu, tumeisha ambiwa Spika mpya ni Dr. Tulia!.Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote...
Chondechonde yule hafai bora hata ndugai.Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo...
Moja Tulia alipaswa kujiuzulu kufuata nyendo za bosi wake!Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu...
We jamaa ni mkubwa kiumri lakin akili zako bado za chekechea....Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu...
Naunga mkono hoja, wanaosema, waache waseme, tayari kuna sauti imesema Spika ajaye ni Tulia.Mbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Huyu alikuwa chawa wa awamu ya 5, kwasasa nafasi yake imeshapata mrithi.Kumbe nawewe huna nafasi ya maamuzi kwenye chama?
Na hapo ndipo ngoz nyeus tunapofeli kuamini kuwa eti viongozi wanaletwa na Mungu..mbona mnamsingizia Mungu kwa mambo ya ajabu hata hamuoni aibu, umefanya ngono zembe umepata ukimwi unakufa .."mapenz ya Mungu"..unaendesha gar unachat unapata ajal unakufa " mapenz ya Mungu"..uongoz mbaya watu wanakufa kama rwanda " mapenz ya Mungu.Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu...
Tatizo wabunge wetu wakiingia bungeni uwezo wao wa kufikiri na kutenda huwa wanaziacha akili zao receptionTunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo...
Chini ya ccm kama nchi hatuna cha kujivuniaHapo “wakuwaomba” ni vikao vya uteuzi vya CCM vikianzia na Kamati Kuu. Akishapitishwa na vikao hivyo(watapitisha jina moja tu) basi hakuna namna tena, jina likifika Bungeni ni lazima atachaguliwa na CCM wenzake
Hakika hawa dawa yao ni kuwaombea mabaya yawakute tuMmeanza kutafunana? Na bado. Laana itawatwanga hadi masikio yavimbe Kama nyungo.
Mimi ni mwana Mbeya lkn kwa huyu Betina no hatufai kabisaMbeya kwa muda mrefu hatujawah kuwa na kiongozi mkuu Kati ya mihimili mitatu ya nchi it's our time go Tulia
Wacha kumkashifu Mungu wewe.Mungu ndio huweka serikali za mataifa na viongozi wake, hivyo hata JPM aliletwa na Mungu na akaitwa na Mungu, Samia ameletwa na Mungu. Ndugai pia alipangiwa na Mungu, na ni Mungu alimruhusu shetani kumuingia na kumtelezesha ulimi...
Hata sura yake tu inaonyeshaChondechonde yule hafai bora hata ndugai.
Ana mfumo jike hyuoooo
Kujikombakomba tayari ni gonjwa hatari ndani ya ccmMoja Tulia alipaswa kujiuzulu kufuata nyendo za bosi wake!
Pili alipaswa kujiuzulu kwa kauli yake ya ajabu zaidi ya ile ya Ndugai.
Tatu yeyote atayeteuliwa kuwa Spika mpya mwambieni akome kujikomboleza Ikulu. Yeye na mwenzake wa Mahaka si kila hafla ya Ikulu ni lazima waende...