Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Sio mtu kabisa, sasa danga halipo na mume yuko nyumbani sijui kafaidi niniDuh! Tulia ni kashetani kachafu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio mtu kabisa, sasa danga halipo na mume yuko nyumbani sijui kafaidi niniDuh! Tulia ni kashetani kachafu sana
Wagombea wengine wakijitoa na kumuunga mkono huyu itakuwaje mkuu?Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?
Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Nitaamini ni wajinga na wapumbavu kama weweWagombea wengine wakijitoa na kumuunga mkono huyu itakuwaje mkuu?
Mungu ndiye anaweka serikali za mataifa yote, ziwe de jure or de facto, zote huletwa na Mungu.Do you even know God!?
Tawala dhalimu zote ni pandikizi la shetani,Mungu anahusika kwenye utawala wa haki tu.
KumekuchaKhee