Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.

Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.

Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na kudhibiti serikali kuu kisa tu mkuu wa serikali ni amiri jeshi mkuu. Mathalani ukitokea ufisadi wa kutisha kama wa Rischmond je? Aone staha?

Wekeni ushabiki wa siasa kando na msichague spika kama huyu.
Wagombea wengine wakijitoa na kumuunga mkono huyu itakuwaje mkuu?
 
IMG-20230608-WA0036.jpg
 
Spika wangu wa kwanza na wa mwisho ni marehem mzee Samweli 6, eeh Mwenyezi Mungu mpe mtu huyu pumziko jema,
Ewe S6 tunakuombea; Eimeen🙏🏻
 
Back
Top Bottom