Chonde chonde wabunge wa CCM msichague Tulia Ackson kuwa Spika, tayari ameshaonesha udhaifu wa kutosimamia katiba ya JMT. Hafai kabisa kuwa spika

Kama ulishindwa kupata uteuzi kutoka kwa ndugu yako jiwe basi usitegemee kuteuliwa tena
 
Unajisumbua...hivi hamelewagi???
Alokwambia wabunge ndio wanachagua spika nani?
Kwani awali huyo tulia niwao walimtaka???
Prezda anasema wabunge wanafanya kazi imeisha muwe mnaelewawa khaa!
 
Mimi nakipenda sana Chief, sababu ya kukipenda ni kwamba kimexist, kile kingine kimepotea kabisaa! Huwa napenda vitu vinavyoevolve kutokana na mazingira yaliyopo
Hicho kinalindwa
 
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
 
Atachaguliwa kwa 100%

CCM ni ile ile..
 
Tulia hatufai kabisa kuwa Spika. Maturity level yake iko very low, yeye ni zao la mfumo usiofuata demokrasia. Isitoshe ana harufu mbaya kama KIGWANGALA
 
Sisi wana CCM kindakindaki tunajua jinsi mama huyu alivyoingia bungeni toka 2015. Tunajua tabia yake ya kujipendekeza ili aoate chochote kitu. Huyu hafai kuwa kiongozi hata wa kata. Tutamkataa kwa nguvu zote.
TULIA Hana TOFAUTI na NDUGAI wote ndio wale wale Waliopitisha Sheria Mbovu ALIZOZITAKA MAGUFULI kwa MANUFAA YAKE
HAFAI KUWA SPIKA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kwa jinsi walivyo wengi wanachama Wa chama cha mazuzu(ccm),watampitisha huyo turia na hapo ndo itakuwa rahisi Kwa nchi kupigwa mnada maana hakuna Wa kuhoji tena Kwa kuwa ameonesha msimamo kuwa rais si lazima afuate anachoshauriwa na bunge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…