Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Mbowe na huko kwao Hai wamekaa kimyaaa huku kwenye keyboard mnaparurana.Mimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.
Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Na akili safi wanayo ya kutoshaUzuri Wana mbeya Wana ghala la chakula
Hawana njaa
Huwa wanakula wanashibašš¤£
Wana shibe na nguvu
Sio wanaume wa buguruni wanaoshindia miguu ya kuku na maji ya kandoroš¤£š
Ndio maana nawaambia wana Mbeya wasikubali kutumika kijinga.Mbowe na huko kwao Hai wamekaa kimyaaa huku kwenye keyboard mnaparurana.
Chadema hovyo kabisa.
Eeh wasomi wa kutoshaNa akili safi wanayo ya kutosha
Kesho haandamani mtuHatuogopi. Idadi ya wana Mbeya ni kubwa sana ikilinganishwa na idadi ya askari wote nchini.
Polisi na jeshi waje Mbeya kesho, Mafiat kujifunza mauaji ya kimbari. Watatukuta tumejĆ a tele.
Hutoandamana wewe wa Dodoma, sisi wa Mbeya tutaandamana kama kawaKesho haandamani mtu
Hakuna shibe kwenye mabomu ya machozi, virungu na maji ya washawasha. Wana Mbeya wanalitambua hilo. Kesho hawatoandamana.Uzuri Wana mbeya Wana ghala la chakula
Hawana njaa
Huwa wanakula wanashibašš¤£
Wana shibe na nguvu
Sio wanaume wa buguruni wanaoshindia miguu ya kuku na maji ya kandoroš¤£š
Keyboard warriors mnataka kuwaponza wana Mbeya. They are smart people. Kuna vitu vya msingi vya mkimfanya mtu aandamane, sio sarakasi za Mwabukusi na Mpaula.Hutoandamana wewe wa Dodoma, sisi wa Mbeya tutaandamana kama kawa
Mzalendo uchwaraNdugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.
Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea mapungufu ya mkataba ule kwenye mikutano halali ya hadhara.
Njia nyingine sahihi ni ile waliyotumia Mwabukusi na Mpaula ya kwenda mahakamani. Na wengine pia kama TLS , wadau wa hapa JF, wabunge kule bungeni, TEC pamoja na wananzuoni wengine kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Kwakuwa serikali imeamua kupuuzia āconcernā za hao wote, basi njia pekee sahihi iliyosalia ni sanduku la kura katika uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwamba, nguvu ielekezwe kwenye kidai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa njia halali na kisha sote tutayatoa maoni yetu kupitia sanduku la kura.
Kuna kipindi mkoa wa Mbeya ni kama ulisuswa na serikali kutokana na tabia za watu wake kupenda āligiā kwenye kila jambo. Wakati wa JPM na hata sasa walau mambo yameanza kwenda vizuri.
Kwahiyo naomba niwasihi ndugu zangu, msitumike kifanya uhalifu wa maandamano yasiyo na kibali ili tu kupaisha ndoto za kisiasa za Mwabukusi na Mpaula.
Bandari sio mali ya Mbeyapeke yake bali Tanzania yote. Kama wenzenu hawaandamani nanyi hamna haja ya kufanya hivyo. Msijifanye mna uchungu saaana hadi mkaanza kuvunja sheria na kujiharibia bure.
Naamini hakuna atakaye andamana, lakini ni muhimu kukumbushana wajibu wetu kama wananchi wapenda maendeleo na amani.
Mzalendo haswaa.Mzalendo uchwara
Naona unaliishi jina lako la Mzalendo uchwara. Na ushauri wako ni wa uzalendo uchwara.Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.
Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea mapungufu ya mkataba ule kwenye mikutano halali ya hadhara.
Njia nyingine sahihi ni ile waliyotumia Mwabukusi na Mpaula ya kwenda mahakamani. Na wengine pia kama TLS , wadau wa hapa JF, wabunge kule bungeni, TEC pamoja na wananzuoni wengine kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.
Kwakuwa serikali imeamua kupuuzia āconcernā za hao wote, basi njia pekee sahihi iliyosalia ni sanduku la kura katika uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwamba, nguvu ielekezwe kwenye kidai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa njia halali na kisha sote tutayatoa maoni yetu kupitia sanduku la kura.
Kuna kipindi mkoa wa Mbeya ni kama ulisuswa na serikali kutokana na tabia za watu wake kupenda āligiā kwenye kila jambo. Wakati wa JPM na hata sasa walau mambo yameanza kwenda vizuri.
Kwahiyo naomba niwasihi ndugu zangu, msitumike kifanya uhalifu wa maandamano yasiyo na kibali ili tu kupaisha ndoto za kisiasa za Mwabukusi na Mpaula.
Bandari sio mali ya Mbeyapeke yake bali Tanzania yote. Kama wenzenu hawaandamani nanyi hamna haja ya kufanya hivyo. Msijifanye mna uchungu saaana hadi mkaanza kuvunja sheria na kujiharibia bure.
Naamini hakuna atakaye andamana, lakini ni muhimu kukumbushana wajibu wetu kama wananchi wapenda maendeleo na amani.
Siamini. Mbeya haina watu wa namna yako. Wewe ni lazima utakuwa unatoka katika jamii zile zenye tabia za ajabu ajabu.Mimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.
Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Njoo Iwambi hapa. Mimi na nyumba yangu kesho mtatuulia field. Ukombozi bila kumwagwa damu haiwezekaniKeyboard warriors mnataka kuwaponza wana Mbeya. They are smart people. Kuna vitu vya msingi vya mkimfanya mtu aandamane, sio sarakasi za Mwabukusi na Mpaula.
Nina hakika akituma picha yake halisi, lazima atakuwa amevaa msuli.Tuma picha ya kama ni mwana mbeyaaa
Mzalendo Uchwara ni chawa. Kwanza hata jina lake linaonyesha kwamba jamaa ni fake man, hawa ndio wako tayari hata kuingiliwa kinyume ili tu wapate hata 10,000Siamini, Mveya haina watu wa namna yako. Wewe ni lazima utakuwa unatoka katika jamii zile zenye tabia za ajabu ajabu.
Jamii za watu wa bara, wengi wao ni watu walionyoka, ukiacha wale wachache walioharibiwa na CCM.
Wewe kumbe ni wale waliokosa uelewa karibia wa kila kitu! Pumzika hujui chochote.Kwa mujibu wa sheria zetu maandamano halali yanahitaji kibali. Hayo ya Mpaula na Mwabukusi hayana. Hivyo ni haramu.
Nakuunga mkono, tume huru ni takwa letu wananchi, na ndio itakayotupa njia sahihi ya kuiwajibisha serikali pale inapofanya yasiyotakiwa.
Endelea kubakia na ujinga wako. Cha muhimu, kama waandamanaji wametoa taarifa polisi, basi wametimiza matakwa ya sheria. Baada ya hapo wapo huru kuendelea na maandamano.Hayana kibali. Atakayeendamana atakuwa anavunja sheria.
We unaongea ukiwa jangwani kwenye mafurikoš¤£akusikilize Nani?Hakuna shibe kwenye mabomu ya machozi, virungu na maji ya washawasha. Wana Mbeya wanalitambua hilo. Kesho hawatoandamana.
š¤£šSiamini, Mveya haina watu wa namna yako. Wewe ni lazima utakuwa unatoka katika jamii zile zenye tabia za ajabu ajabu.
Jamii za watu wa bara, wengi wao ni watu walionyoka, ukiacha wale wachache walioharibiwa na CCM.