Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.

Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea mapungufu ya mkataba ule kwenye mikutano halali ya hadhara.

Njia nyingine sahihi ni ile waliyotumia Mwabukusi na Mpaula ya kwenda mahakamani. Na wengine pia kama TLS , wadau wa hapa JF, wabunge kule bungeni, TEC pamoja na wananzuoni wengine kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Kwakuwa serikali imeamua kupuuzia ‘concern’ za hao wote, basi njia pekee sahihi iliyosalia ni sanduku la kura katika uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwamba, nguvu ielekezwe kwenye kidai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa njia halali na kisha sote tutayatoa maoni yetu kupitia sanduku la kura.

Kuna kipindi mkoa wa Mbeya ni kama ulisuswa na serikali kutokana na tabia za watu wake kupenda ‘ligi’ kwenye kila jambo. Wakati wa JPM na hata sasa walau mambo yameanza kwenda vizuri.

Kwahiyo naomba niwasihi ndugu zangu, msitumike kifanya uhalifu wa maandamano yasiyo na kibali ili tu kupaisha ndoto za kisiasa za Mwabukusi na Mpaula.

Bandari sio mali ya Mbeyapeke yake bali Tanzania yote. Kama wenzenu hawaandamani nanyi hamna haja ya kufanya hivyo. Msijifanye mna uchungu saaana hadi mkaanza kuvunja sheria na kujiharibia bure.

Naamini hakuna atakaye andamana, lakini ni muhimu kukumbushana wajibu wetu kama wananchi wapenda maendeleo na amani.
Haya majitu yanaitwa Mwabukusi, SLAA na Mdude yana STRESS zao binafsi ndiyo maana wanataka kadamnasi iwasaidie kuondoa stress hizo.

Mambo ya bandari ni mambo ya biashara na kati ya hao watatu hakuna hata mmoja amewahi kufanya hata biashara ya genge au kilabu cha pombe
 
We mchaggah
Lazima uwachukie Wana mbeya
Nyie roho yenu iko kwenye pesa ya dhulma,wizi na utapel
Ndomana mnazaa ma.taahira wengi
Mchaga, pambaf!
Mxxffqffeww......!!
Mie kyusa ninayejuajua maendeleo.
Hapo Mbeya kwangu kwa wastaarabu Sae.
Nyie mnaandamana baada ya kushiba mbaragha na kunywa kimpumu.

Jioni unarudi kibMda chsko cha tope.
Sasa lazima tuambizane, wenye akili kama zenu ndo mnachelewesha kuja uwekezaji wa maana.
Kila siku kimpumu na mnsragha hadi vitambi vya kimasikini.
 
Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.

Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea mapungufu ya mkataba ule kwenye mikutano halali ya hadhara.

Njia nyingine sahihi ni ile waliyotumia Mwabukusi na Mpaula ya kwenda mahakamani. Na wengine pia kama TLS , wadau wa hapa JF, wabunge kule bungeni, TEC pamoja na wananzuoni wengine kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Kwakuwa serikali imeamua kupuuzia ‘concern’ za hao wote, basi njia pekee sahihi iliyosalia ni sanduku la kura katika uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwamba, nguvu ielekezwe kwenye kidai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa njia halali na kisha sote tutayatoa maoni yetu kupitia sanduku la kura.

Kuna kipindi mkoa wa Mbeya ni kama ulisuswa na serikali kutokana na tabia za watu wake kupenda ‘ligi’ kwenye kila jambo. Wakati wa JPM na hata sasa walau mambo yameanza kwenda vizuri.

Kwahiyo naomba niwasihi ndugu zangu, msitumike kifanya uhalifu wa maandamano yasiyo na kibali ili tu kupaisha ndoto za kisiasa za Mwabukusi na Mpaula.

Bandari sio mali ya Mbeyapeke yake bali Tanzania yote. Kama wenzenu hawaandamani nanyi hamna haja ya kufanya hivyo. Msijifanye mna uchungu saaana hadi mkaanza kuvunja sheria na kujiharibia bure.

Naamini hakuna atakaye andamana, lakini ni muhimu kukumbushana wajibu wetu kama wananchi wapenda maendeleo na amanihaol

Mzalendo uchwara hawezi kutushauri Wana mbeya
 
Msaliti unastahili kupuuzwa.

Ukibomolewa nyumba unayoishi Leo, utasubiri Sanduku la kura?
 
Sina wasiwasi, nawatahadhalisha ndugu zangu wa Mbeya kuwa wasitumike na wahuni ambao wao watakuwa wamekaa na familia zao majumbani kwao salama salimini.
Hivi unatarajia mtu mwenye akili timamu kabisa, anahitaji ushauri toka kwako?
 
Hakuna maandamano yatatokea Tanzania ya kudai chochote kile,labda kudai pointi za Simba na Yanga zikikatwa
Au labda Simba au Yanga akishushwa daraja au kuonewa,au ya kumpongeza Diamond akichukua tuzo za Grammy
Au kumpongeza mama kwa kuupiga mwingi kwenye mgao wa umeme.
Haya mengine tutaishia kusema “TAYARI YAMEFANIKIWA,SI UMEONA POLISI WAMEANDAMANA,DUNIA IMESHAJUA MADAI YETU”
Hakuna mtu ataandamana barabarani nchi hii kudai Jambo lolote la kiuchumi,siasa au maendeleo ya jamii
Sisi ni kondoo
 
Hivi unatarajia mtu mwenye akili timamu kabisa, anahitaji ushauri toka kwako?
Sio tu mwenye akili timamu bali wote ambao uwezo wao wa kiakili uko above average. Watu wengi wa Mbeya ni vichwa, watazingatia ushauri huu makini.
 
Msaliti unastahili kupuuzwa.

Ukibomolewa nyumba unayoishi Leo, utasubiri Sanduku la kura?
Utaona kama kuna mtu ataandamana. Kuna mambo ya msingi ya kuitisha maandamano, sio kwa sababu tu kuna wapumbavu wanatamani amani ivunjike kwa manufaa yao ya kisiasa.
 
Mzalendo uchwara hawezi kutushauri Wana mbeya
Kama kweli wewe ni mwana Mbeya basi najua fika hautoandamana. Wana mbeya nawafahamu vema, ni watu wasiopelekeshwa, wanaweza kukiwasha kwenye mambo ya msingi na sio eti kumuunga mkono Mpaula na Mwabukusi.
 
Haya majitu yanaitwa Mwabukusi, SLAA na Mdude yana STRESS zao binafsi ndiyo maana wanataka kadamnasi iwasaidie kuondoa stress hizo.

Mambo ya bandari ni mambo ya niashara na kati ya hao watatu hakuna hata mmoja amewahi kufanya hata biashara ya genge au kilabu cha pombe
Polisi imewachelewesha sana hao, walitakiwa kupigwa rungu mapema.
 
Toka uandamane ili ufundishwe na uliwengu. Ujasiri wenu unaishia mitandaoni.
Mimi kuandamana siwezi bora uniambie nikupige shaba ya kichwa ...maana sipendinkupoteza muda ...maandamano ni kupoteza muda tu. Labda yawe yale maandamano ya kupindua serikali dharimu ya samia sawa naweza shiriki
 
Si huna akili?? njoo tuandamane wewe.acha woga wa kike
 
Ndugu zangu wana Mbeya, mimi ni miongoni mwa wapingaji wakuu wa mkataba wa uwekezaji bandarini, hususani ile IGA. Huo mwingine bado hatujui kama ni mzuri au tumepigwa.

Lakini, kuna njia sahihi na njia isiyo sahihi ya kupinga jambo. Njia sahihi ni kama ile aliyoitumia Lissu kwa kuelezea mapungufu ya mkataba ule kwenye mikutano halali ya hadhara.

Njia nyingine sahihi ni ile waliyotumia Mwabukusi na Mpaula ya kwenda mahakamani. Na wengine pia kama TLS , wadau wa hapa JF, wabunge kule bungeni, TEC pamoja na wananzuoni wengine kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii.

Kwakuwa serikali imeamua kupuuzia ‘concern’ za hao wote, basi njia pekee sahihi iliyosalia ni sanduku la kura katika uchaguzi ulio huru na wa haki. Kwamba, nguvu ielekezwe kwenye kidai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya kwa njia halali na kisha sote tutayatoa maoni yetu kupitia sanduku la kura.

Kuna kipindi mkoa wa Mbeya ni kama ulisuswa na serikali kutokana na tabia za watu wake kupenda ‘ligi’ kwenye kila jambo. Wakati wa JPM na hata sasa walau mambo yameanza kwenda vizuri.

Kwahiyo naomba niwasihi ndugu zangu, msitumike kifanya uhalifu wa maandamano yasiyo na kibali ili tu kupaisha ndoto za kisiasa za Mwabukusi na Mpaula.

Bandari sio mali ya Mbeyapeke yake bali Tanzania yote. Kama wenzenu hawaandamani nanyi hamna haja ya kufanya hivyo. Msijifanye mna uchungu saaana hadi mkaanza kuvunja sheria na kujiharibia bure.

Naamini hakuna atakaye andamana, lakini ni muhimu kukumbushana wajibu wetu kama wananchi wapenda maendeleo na amani.
Asante sana kwa elimu hii.
 
Back
Top Bottom