Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu

Uzuri Wana mbeya Wana ghala la chakula
Hawana njaa
Huwa wanakula wanashiba😂🤣
Wana shibe na nguvu
Sio wanaume wa buguruni wanaoshindia miguu ya kuku na maji ya kandoro🤣😂
Wengi wanakula na kushiba lakini akili no!
Wengi wanaishi nyumba za udongo.
Mateo Qares aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa Mbeya, aliwahi kusema Mbeya watu wanajenga nyumba ambazo hata kuku akizipiga teke zinaanguka zanyewe.
 
Wana mbeya unawajua? Waliwahi kumtwanga mawe Kikwete kwenye msafara. Sasa wewe leta uchawa wako.
Nilikuwepo Mbeya wakati ule. Umeme na maji uviikatika Mbeya nzima kwa miezi kadhaa, nani aliwaongelea wana Mbeya? Upumbavu mtupu.
 
Wewe ndio unatumika kijinga.
Natumika na nani?? Mimi nawaambia ndugu zangu wana Mbeya ukweli mtupu. Tuliteseka sana 2007 - 2015 kwa sababu ya kupigania mambo ya kijinga.

Sasa ni muda wa Mbeya ku enjoy miradi ya maendeleo. Huu upuuzi wa akina Mpaula waachiwe wenyewe.
 
Wengi wanakula na kushiba lakini akili no!
Wengi wanaishi nyumba za udongo.
Mateo Qares aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa Mbeya, aliwahi kusema Mbeya watu wanajenga nyumba ambazo hata kuku akizipiga teke zinaanguka zanyewe.
We mchaggah
Lazima uwachukie Wana mbeya
Nyie roho yenu iko kwenye pesa ya dhulma,wizi na utapel
Ndomana mnazaa ma.taahira wengi
 
Nilikuwepo Mbeya wakati ule. Umeme na maji uviikatika Mbeya nzima kwa miezi kadhaa, nani aliwaongelea wana Mbeya? Upumbavu mtupu.

Hata Mimi sikuunga mkono Jambo lile, ila najaribu kukupa picha kwamba ni Bora watu waandamane kwa amani polisi walinde maanadamano Yale. Kuna shida gani? Atakaye kiuka masharti achukuliwe hatua.
 
Natumika na nani?? Mimi nawaambia ndugu zangu wana Mbeya ukweli mtupu. Tuliteseka sana 2007 - 2015 kwa sababu ya kupigania mambo ya kijinga.

Sasa ni muda wa Mbeya ku enjoy miradi ya maendeleo. Huu upuuzi wa akina Mpaula waachiwe wenyewe.

Sawa mkuu. Ila maanadamano yapo.
 
Mimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.

Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Kwamba wasubiri kuonyesha maamuzi Yao kupitia njia ya kura? Kuna uchaguzi Hadi useme wasubiri muda huo? Acha kupotezea watu muda kwa tahadhari zisizo na maana yoyote. Hakuna mtu yoyote anataka maendeleo ya hisani toka serekalini, maendeleo ni wajibu wa serekali Wala sio hisani.
 
Mimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.

Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Kauze kijambio sisiemu kama wenzako wanavyo fanya ...usitupigie kelele za kishoga
 
Hakuna mtu ataandamana kesho.

Maandamano Mbeya huwa hyaandaliwi na hayatangazwi,huwa yanatokea automatic,na yakitokea moto unawaka.

Kesho hakuna mtu ataandamana,vijana wa siku hizi hawana muamko na mambo yanayohusu nchi yetu.
Ni kubeti,umalaya na pombe

Hakuna maandamano
 
Back
Top Bottom