Chonde chonde wana Mbeya msikubali kutumika, msishiriki hayo maandamano haramu


Unaongea Kama nani?
 

Tangu lini maanadamano ya amani yakawa haramu?. Acha unafiki
 
We mwanaume wa Dar tulia tukuonyeshe kwamba Sisi siyo sawa na nyie.Kesho mtatuelewa!
kimsingi hakuna cha mwanaume wala mamake maandamano, ila Mwabukusi anatumia njia ya kishamba sana kutafuta ubunge huko Mbeya sijajua jimbo. Eti Mbeya ndio muwe na unchungu na bandari ya Dar Es Salaam wakati wenyeji hawaandamani, ukiwa na akili ndogo utauhangaisha sana mwili, Mwabukusi kwanza ni mhuni tu na ana akili ndogo sana. Najua hakuna kima atatoa pua yake barabarani labda wataandamana sebuleni na wake zao,
 
Sasa mzaramo,mvivu,mla miguu ya kuku na mihogo
Hajasoma
Anazaa watoto wengi na hajui atawatunza vipi
Aandamane kuhusu nn?
Labda kama anagombania Banda la uani la urithi
 
Pelekeni uchawa wenu CCM . Tatizo wewe ni chawa na unalazimisha wengine wawe chawa Kama wewe.
 
Nani kakuambia tz kuna uchaguzi huru na haki,bora ujikalie nyumbani
Na kutopiga kura tu

Ova
 
Bado sijapata jibu sahihi, kwa nini CCM inaogopa maandamano namna hii?

mtu anaandamana mwenyewe, njaa yake, jua lake, mvua yake na hata silaha yoyote mkononi mwake hana- sasa wewe kitakupunguzia nini ukimwacha aandamanee kisha asepe zake ?
Wawaache watu waandamane wakimaliza wajirudie majumbani
Mwao,shida nini

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…