Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
- Thread starter
-
- #61
Sina wasiwasi, nawatahadhalisha ndugu zangu wa Mbeya kuwa wasitumike na wahuni ambao wao watakuwa wamekaa na familia zao majumbani kwao salama salimini.Mbona una wasi wasi? Kama unajua hawaandamani , kiherehere Cha kuleta vitisho hapa ni kipi?.
Wengi wanakula na kushiba lakini akili no!Uzuri Wana mbeya Wana ghala la chakula
Hawana njaa
Huwa wanakula wanashiba😂🤣
Wana shibe na nguvu
Sio wanaume wa buguruni wanaoshindia miguu ya kuku na maji ya kandoro🤣😂
SSH ni Rais wa JMT. Amewaheshimu Mbeya, ni vema nao wajiheshimu kwa kutokibali kidanganywa na wahuni Mpaula na Mwabukusi
Nilikuwepo Mbeya wakati ule. Umeme na maji uviikatika Mbeya nzima kwa miezi kadhaa, nani aliwaongelea wana Mbeya? Upumbavu mtupu.Wana mbeya unawajua? Waliwahi kumtwanga mawe Kikwete kwenye msafara. Sasa wewe leta uchawa wako.
Natumika na nani?? Mimi nawaambia ndugu zangu wana Mbeya ukweli mtupu. Tuliteseka sana 2007 - 2015 kwa sababu ya kupigania mambo ya kijinga.Wewe ndio unatumika kijinga.
We mchaggahWengi wanakula na kushiba lakini akili no!
Wengi wanaishi nyumba za udongo.
Mateo Qares aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa Mbeya, aliwahi kusema Mbeya watu wanajenga nyumba ambazo hata kuku akizipiga teke zinaanguka zanyewe.
Nilikuwepo Mbeya wakati ule. Umeme na maji uviikatika Mbeya nzima kwa miezi kadhaa, nani aliwaongelea wana Mbeya? Upumbavu mtupu.
Sasa wewe so mwalimu wa tuisheniNipo mbeya, iyunga kesho siandamani
Natumika na nani?? Mimi nawaambia ndugu zangu wana Mbeya ukweli mtupu. Tuliteseka sana 2007 - 2015 kwa sababu ya kupigania mambo ya kijinga.
Sasa ni muda wa Mbeya ku enjoy miradi ya maendeleo. Huu upuuzi wa akina Mpaula waachiwe wenyewe.
Kwamba wasubiri kuonyesha maamuzi Yao kupitia njia ya kura? Kuna uchaguzi Hadi useme wasubiri muda huo? Acha kupotezea watu muda kwa tahadhari zisizo na maana yoyote. Hakuna mtu yoyote anataka maendeleo ya hisani toka serekalini, maendeleo ni wajibu wa serekali Wala sio hisani.Mimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.
Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Kauze kijambio sisiemu kama wenzako wanavyo fanya ...usitupigie kelele za kishogaMimi mwanaume wa Mbeya, nafahamu vema hasara ya maandamano yasiyo halali. Wengi mnaochochea hui ujinga hampo Mbeya.
Narudia tena, wana Mbeya msiwasikilize wahalifu hawa. Mheshimiwa Rais SSH amewaheahimu sana Mbeya na kuwapendelea. Ukibebwa bebeka. Waachieni Mpaula na Mwabukusi maandamano yao.
Acha kufundisha wanaume uoga.Hakuna shibe kwenye mabomu ya machozi, virungu na maji ya washawasha. Wana Mbeya wanalitambua hilo. Kesho hawatoandamana.
Mkuu wanaofanya uharamia Mbeya ni wa kuja.SSH ni Rais wa JMT. Amewaheshimu Mbeya, ni vema nao wajiheshimu kwa kutokibali kidanganywa na wahuni Mpaula na Mwabukusi
Sio uoga ni busara.Acha kufundisha wanaume uoga.
Toka uandamane ili ufundishwe na uliwengu. Ujasiri wenu unaishia mitandaoni.Kauze kijambio sisiemu kama wenzako wanavyo fanya ...usitupigie kelele za kishoga
Busara ya kuburuzwa na majizi? Kwa taarifa hayo maandamano yatafanya Mbeya iheshimiwe na serakali kuliko kinyume chake.Sio uoga ni busara.
Yatakuwa maajabu ya karne.Sawa mkuu. Ila maanadamano yapo.