Chondechonde Mwenyekiti wa CCM-Taifa, Mdee na wenzake wasipewe vyeo CCM

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2021
Posts
1,505
Reaction score
4,427
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

1. Wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

2. Wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

3. Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

4. Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

5. Wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
 
i) wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

ii) wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

iii) Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

iv) Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

v) wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Halima awe Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro
 
Cheo ni Dhamana.

Kwanini wasipewe sasa!!?
 
Siasa ni Mchezo Mchafu. Expect anything surprising!
 
Huko CCM huwa mnawapokea kwa vigelegele na kuwapa vyeo, wewe ndio bora uhame huko hawakuthamini, wageni hasa toka Chadema ndio kila kitu.
 
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

i) wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

ii) wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

iii) Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

iv) Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

v) wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Mwenyekiti wa ccm atawapaje vyeo wabunge wa viti maalumu wachademaa???
 
Wale ni binadamu wanayo haki ya kushiriki kisiasa kwenye vyama vya siasa.
Maamuzi ya kujiunga au kutojiunga ni yao na CCM au vyama vingine.
 
Hawa wanaingia ACT na huko wataiua kabisa CHADEMA count my words.
 
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

1. Wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

2. Wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

3. Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

4. Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

5. Wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Kwani wale walojiunga kwa kuienda c njaa tu.Halafu hao walofukuzwa wananini la maana wakati huu h
adi wapewe cheo ccm.!
 
Katika makosa ambayo Hayati Magufuli aliyafanya kwa kujua au kutojua ni kutoa vyeo kwa wapinzani wanajiunga CCM kutokea upinzani. Ni ukweli usiosemwa lakini unawaumiza wanaCCM, watu walioshirika kupunguza kura leo wanafikiriwa zaidi.

Kuna wale wabunge 19 wa CHADEMA ambao maamuzi pengine yatatolewa ya kufukuzwa uanachana na ikatokea hivyo, Chondechonde wasifikiriwe kwa vyeo kwanza hata wakiamia CCM kwa Sababu

1. Wameonesha waziwazi kabisa wapo tayari kufanya usaliti kwa Sababu ya vyeo, ikiwa walijua ukweli hawana uhalali wa kuendelea wangejiondoa ubunge hata kama Kuna ugumu

2. Wametolewa na vyama vyao wakiwa ni wachafu hivyo CCM lisitumike kama dodoki la kusafishia uchafu wao, madhara ya kuwa dodoki yanagharimu Sana.

3. Mdee na wenzake hawajawahi kuikubali CCM hivyo ikitokea wamehamia CCM hasa kipindi hiki ni kujidanganya wenyewe.

4. Badala ya kupewa nafasi za uteuzi moja kwa moja waanze na nafasi za ugombea ili kupima kukubalika kwao kwa wananchi.

5. Wakijiunga na CCM wawe wanachama wa kawaida lakini ikiwapendeza wagombee nafasi zinapojitokeza na wapewe nafasi kuonesha utayari wao kukitumikia chama.
Huwezi toka Chadema uka survive political downfall
 
UVCCM mnajihami🤣🤣
 
Back
Top Bottom