Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
Acha tu, mnyonge anyongwe lakini apewe haki zake
Huu ni ujinga na uoga kabisa, nitawaona CWT kama wana meno kipindi hiki. Au hata TUCTA.Mkuu umeandika kwa uchungu pole sana tutawanyang'anya posho tu mshahara tutakuja baadae kuwalipa nusu pamoja na wale ambao watakuwa likizo ya corona
Huu ni ujinga na uoga kabisa, nitawaona CWT kama wana meno kipindi hiki. Au hata TUCTA.
Ndiyo hivyo, eti madai watoto hawapo shuleni.Nadhani hizo pesa uja na zile za elimu bure. So kama za elimu bure zitafungwa bila shaka na zile nyingine zitakatwa juu kwa juu hasa posho ya mkuu wa shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tetesi huwa kweli, kuna watu wamenasa mpango huu kabambe wa dhulumaKumbe ni tetesi hatuwezi kuanza kujadili tetesi
Ungejua Mimi sio mwalimu na hata kazi hiyo siitaki bure, usingeandika hayo. Nikiri tu ndugu zangu wengi ni walimu. Pia tuna Mratibu ambaye ni mjomba wangu.Wazuie posho ziende kwenye corona,kama hutaki andika barua uachie ngazi kuna walimu wengi wenye kuweza kufanya kazi hizo.
aaahhhaaaa, sipo ktk tasnia hiyo!!Tumekusikia mwalimu wa Lulumba ila makato yako palepale.
Sasa kama huko kwenye tasnia hiyo,ni mjomba na ndugu zako,hiyo posho unataka wapewe ya nini wakati wapo kwenye karantini,au unataka wazuie na mshahara?Ungejua Mimi sio mwalimu na hata kazi hiyo siitaki bure, usingeandika hayo. Nikiri tu ndugu zangu wengi ni walimu. Pia tuna Mratibu ambaye ni mjomba wangu.
Head Teacher sijui Head Master, next time msikubali kutumika kama "kondomu". Hawa mashetani wa CCM hawana rafiki wa kudumu bwana Mwalimu. Remember that.aaahhhaaaa, sipo ktk tasnia hiyo!!
Hao wakubwa niliowataja hapo juu hadi wengine wametajwa na CAG kwa wizi mbona hawaguswi? Hapo ndiyo napoona huruma kwa wanyonge hawa.Sasa kama huko kwenye tasnia hiyo,ni mjomba na ndugu zako,hiyo posho unataka wapewe ya nini wakati wapo kwenye karantini,au unataka tuzuie na mshahara?