Ungeainisha kama ni kazi zipi, ili tujue. Wanafunzi hamna, inamaana mitihani hamna yakusahihisha, ripoti za wanafunzi haziandaliwi, mafunzo kwa wanafunzi hayatolewi(tovuti ya wizara ya elimu iko wazi) na hakuna mzazi anayeenda shuleni kuulizia habari za mwanae, wakati mwanae yuko nyumbani.Bado kuna kazi za ofisini za hapa na pale
Ingelikuwa hivyo ningeanza na wale wanaojazana Dodoma na kupeana mipasho utadhani wanawake wa mwambao wa bahari ya Hindi.Inawezekana nia yako nikujaribu kuikumbusha serikali, kuwa kuna watu wanakula hela yake bila kazi.
Sikilizeni upya tangazo la waziri mkuu la kufunga shule
Pole sana Mwalimu Mkuu kwa kurariri kuhusu posho.Watu wanafanyia kazi maelekezo rasmi kupitia barua rasmi kutoka wizara husima
Kwa kawaida Serikalini/kiongozi wa serikali anapotoa agizo lolote, linaambatana na
NB: Usikariri, sio kila mtu anayeongelea hili kwa mwelekeo wa kutetea Walimu ni Mwalimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimu wakuu si wanachama wa CWTHuu ni ujinga na uoga kabisa, nitawaona CWT kama wana meno kipindi hiki. Au hata TUCTA.
Kila mwanachama wa CWT ni mwalimu yeyote hata maafisa elimu na wadhibiti ubora