Bia yetu
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 6,921
- 8,321
Hakuna kundi la hovyo kama hao watu. Kipindi cha uchaguzi wana siri nyingi mno. Waone tu.Head Teacher sijui Head Master, next time msikubali kutumika kama "kondomu". Hawa mashetani wa CCM hawana rafiki wa kudumu bwana Mwalimu. Remember that.
Ungekuwa wewe ndio mwajiri ungelipa hizo posho?Halo wadau wa JF.
Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona.
Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti corona. Hamuwaoni wabunge, DC, RC, DAS, RAS, makatibu wakuu, mawaziri, manaibu waziri, wakubwa kwenye jeshi, polisi, DED, Wakurugenzi wa mashirika ya umma?
Kwanini posho za walimu eti wapo likizo hawana kazi? Mbona wanaagizwa kupeleka nyaraka na takwimu mbalimbali za kishule na kata wilayani hata kipindi hiki? Wasafiri na nini?
Hivi walimu wameikosea nini jamii na serikali mbona wao tu?
CWT kaeni chonjo!
Japo Mimi sio mnufaika wala sifanyi kazi za elimu, ila inaakera kuona wadogo zetu, kaka zetu, Dada zetu na wazazi wetu wakidhulumiwa kwa ukimya wao.
Ni hayo tu.
Hizo posho za madaraka kwa walimu wakuu,wakuu wa shule na maafisa elimu kata kwa mwezi ni takriban 5bn nje ya mshahara.Ungekuwa wewe ndio mwajiri ungelipa hizo posho?
Nisingeleta post hii kama nisingelipaUngekuwa wewe ndio mwajiri ungelipa hizo posho?
Hamutawapa kazi zozote za kiofisi kipindi hiki?Hizo posho za madaraka kwa walimu wakuu,wakuu wa shule na maafisa elimu kata kwa mwezi ni takriban 5bn nje ya mshahara.
Hichi kiasi kinatosha kusaidia harakati za kupambana na corona.Hao wakuu waendelee kukaa karantini wakila mishahara pekee.
Kumbuka wana mishahara,na shuleni hakuna walimu na wanafunzi.Kazi za kiofisi anaweza kuzifanyia nyumbani.Kama hawezi akabidhi.Hamutawapa kazi zozote za kiofisi kipindi hiki?
Dhuluma? Kwani watakatwa mishahara? Posho sio haki kwa wakuu wa shule, inatolewa tu kulingana na bosi ameamkaje, ni hisani kulingana na uchumi wa nchi ulivokaa, wenyewe wanaiita pesa ya madarakaTetesi huwa kweli, kuna watu wamenasa mpango huu kabambe wa dhuluma
Kumbuka wana mishahara,na shuleni hakuna walimu na wanafunzi.Kazi za kiofisi anaweza kuzifanyia nyumbani.Kama hawezi akabidhi.
Nadhani hizo pesa uja na zile za elimu bure. So kama za elimu bure zitafungwa bila shaka na zile nyingine zitakatwa juu kwa juu hasa posho ya mkuu wa shule.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazuie posho ziende kwenye corona,kama hutaki andika barua uachie ngazi kuna walimu wengi wenye kuweza kufanya kazi hizo.
Pole sana.Huu ni ujinga na uoga kabisa, nitawaona CWT kama wana meno kipindi hiki. Au hata TUCTA.
Sikilizeni upya tangazo la waziri mkuu la kufunga shuleWalimu bado wanaenda ofisini, wanatakiwa wasaini kila siku ya kazi
Sent using Jamii Forums mobile
Sikilizeni vizuri hotuba ya waziri mkuu aliyefunga shule
Bado kuna kazi za ofisini za hapa na palePosho Ni malipo ya ziada... Sasa Kama hawana kazi ya kufanya kipindi hiki Cha corona hiyo posho wakilipwa Ni upendeleo na Ni batili...
walimu Ni wanyonge wa serikali ndio sehemu pekee serikali ya kujipatia ujiko ikiwatingishaHalo wadau wa JF.