Chondechonde Serikali: Msiwaonee walimu haswa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata

Head Teacher sijui Head Master, next time msikubali kutumika kama "kondomu". Hawa mashetani wa CCM hawana rafiki wa kudumu bwana Mwalimu. Remember that.
Hakuna kundi la hovyo kama hao watu. Kipindi cha uchaguzi wana siri nyingi mno. Waone tu.
 
Ungekuwa wewe ndio mwajiri ungelipa hizo posho?
 
Hizo posho za madaraka kwa walimu wakuu,wakuu wa shule na maafisa elimu kata kwa mwezi ni takriban 5bn nje ya mshahara.
Hichi kiasi kinatosha kusaidia harakati za kupambana na corona.Hao wakuu waendelee kukaa karantini wakila mishahara pekee.
Hamutawapa kazi zozote za kiofisi kipindi hiki?
 
Nadhani hizo pesa uja na zile za elimu bure. So kama za elimu bure zitafungwa bila shaka na zile nyingine zitakatwa juu kwa juu hasa posho ya mkuu wa shule.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wazuie posho ziende kwenye corona,kama hutaki andika barua uachie ngazi kuna walimu wengi wenye kuweza kufanya kazi hizo.

Posho Ni malipo ya ziada... Sasa Kama hawana kazi ya kufanya kipindi hiki Cha corona hiyo posho wakilipwa Ni upendeleo na Ni batili...
 
Hao walimu ni wajinga tena mimi natamani wakatwe tu. Hivyo mtendaji kata ,bwana afya,mtendaji kijiji,afisa maendeleo kata, bwana shamba kata wanapewa hizo posho ? Kwani wao hawapeleki taarifa? Serikali itakuwa ya ajabu kiwalipa hao walimu posho walimu na wa ratibu walio nyumbani huku wakilipwa mishahara juu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wan walimu Ni wanyonge wa serikali ndio sehemu pekee serikali ya kujipatia ujiko ikiwatingisha
 
Ile ni fedha ya kuwezesha majukumu. Je kuna majukumu wanayotekeleza kwa sasa?
Ile siyo segemu ya mshahara!. Poleni mliozoea kunywea, kuhongea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…