Chongoleani, Tanga: Rais Magufuli na Museveni waweka la jiwe la Msingi mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima - Tanga

Sidhani kama Rais yuko sahihi kuzungumzia Mambo ya uchama kwenye uzinduzi ambao una watu wa Uganda..

Mambo ya ndani yangebaki kuwa mambo ya ndani tuu..
 


Hivi anapotudanganya kuwa bomba hilo ndio refu duniani anakuwa anadhani anaongea na ccm wenzake tu wanaoitikia ndioo kila kitu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wewe tu na mwingine humu mnayenu kuelewa mtu anapochanganya lugha eeeh.. wengine tumemfurahia sana sana.. hapa kazi tu
anaongea kama babu anawasimulia wajukuu zake hadith za zamani.
 

Maneno kama haya yalisemwa wakati wa bomba la gesi.
 
Tuna ulinzi wa kutosha hata mgambo wanaweza kulinda.usinishangae nikaja kukuomba angalau contribution kwa ajili ya ulinzi ili kutoa motisha-JPM
 
Manji anatafunwa na laana ya dhulma na wizi wake, hata kama asingekamatwa enzi hizi za Magu angekamatwa tu huko mbele ya safari. Maisha ya janja janja hayana mwisho mwema. Ila asiwaze sana maana pesa zake za dhulma katunza USWISI.
Afrika hii nani?, si mwizi........hata mkulima wa jembe la mkono ni mwizi,,,,,,,ukitaka kujua kuwa ni mwizi,,,siku akiwa na kibarua wakumusaidia sambani , badala ya kutoka SAA 6 ya siku zote,,,,,,,kipindi hiki akiwa na kibarua mpaka saa12,,,,ndipo atamutoka shamba .....
 
Waendelee tu mkuu
 
Magufuli ni kiboko kapatanisha watu live live, hatimaye makonda ameuza sura

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Hili la kuwapatanisha makonda na Ruge ni la aina yake.

Kuna mambo mengi ya maingi kwenye nchi hii kuliko mgogoro wa makonda na ruge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…