Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Wadanganyika wanafurahia bomba la mafuta la Uganda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amka mkuu..Faida ya muda mfupi mkuu.
Mradi ukikamilika wote waliopata kibarua wanabwagwa chini
Huo ni uhuru wao wa kujieleza, waache. Udikteta wako peleka Ufipa.Hao jamaa wanaimba eti "kenya hawatuwezi" huo ni u primitive kabisaa sijui kwann WaTz tuna assert za ajabu sanaaa ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujifunze kutafuta na positive angle kdogo! Mradi huu ungekwenda Kenya kama ilivyokuwa imepangwa awali mngekuja hapa na mzigo wa matusi kwa Serikali.
Leo Viongozi wetu wamejitahidi kushawishi mradi huu mkubwa wenye faida kubwa kwenye nyanja zote za kijamii tunabeza tena, hv ni lini tutaanza kuona kama hata makubwa kiasi hiki hatuoni?
Sent using Jamii Forums mobile app
La zambie ndio bomba refu mkuu..Leo tumesika kuwa bomba linalojengwa ambalo ufunguzi wake ni leo lina urefu wa takriban Km 1400 na kwamba ndilo litakuwa bomba refu kuliko yote Africa.Wakati huohuo tuliashaelezwa kuwa bomba la mafuta la TAZAMA kutoka Dar es salaam mpaka Ndola ,Zambia lina takriban urefu wa Km 1700 ambalo vilevile lipo ndani ya Africa.Wadau mahesabu haya yamekaaje ?
Tuko pamoja nawe kupongeza Serikali zetu katika hiliNaungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Magufuli na Serikali yake pamoja na Rais Mseveni wa Uganda kwa kuandika historia mpya ya ushirikiano wenye tija.
Historia inaandikwa kwa nchi mbili za Tanzania na Uganda ambapo jiwe la msingi linawekwa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania ambapo jiwe la msingi la kuanza ujenzi huo litawekwa.
Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya 24 na vijiji 184.
Kuna faida nyingi sana kama Taifa tutapata kutokana na uwepo wa mradi huu wa bomba la mafuta.
Wakati wa ujenzi Watanzania wengi watapata fursa ya ajira ambapo jumla ya ajira 40,000 zitapatika. Ajira za ufundi, ulinzi, upishi, usafiri, fursa za malazi, na huduma za kifedha.
Ukiachilia mbali fursa hiyo mradi huu utapelekea kufunguka kwa Ukanda wa Biashara kwa nchi nyingine za Afrika Mashariki kama vile Rwanda, Burundi, Kongo, Sudan ambapo wanaweza kuunganishwa na miundombinu hiyo na kusafirisha mafuta kwa urahisi.
Kukamilika kwa mradi huo nchi za Tanzania na Uganda zitapata mapato na kuongeza kasi ya ukuaji wa uchumi wake.
Faida nyingine ya bomba la mafuta kuwa ni pamoja na gharama za mafuta kupungua kutokana na nchi za Afrika Mashariki kutumia mafuta yake yenyewe kwenye magari pamoja na ndege hivyo kuchochea kasi ya utalii katika nchi husika pamoja na ajira.
Gharama ya mafuta itakapo pungua ni dhahiri gharama za usafiri, usafirishaji na bidhaa nazo pia zitapungua. Maisha kuwa rahisi.
Naipongeza Serikali ya Dk. Magufuli kwa kufanikisha upatikanaji wa ujenzi huu wa bomba la mafuta kutoka Uganda. Haikuwa kazi rahisi Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kutoka nchini Uganda kutokana na ushindani mkubwa uliokuwepo.
Narudia tena kumpongeza Dk. Magufuli kwa kutuletea mradi huu wa bomba la mafuta utakaokuwa na tija kwa Taifa vizazi na vizazi. Ni jukumu letu Watanzania kuulinda mradi huu wa bomba la mafuta.
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Mbariki Dk. Magufuli
Na Emmanuel J. Shilatu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni shida mkuu ila weng wa tz bdo wajinga sanaAna bana matumizi
Yaani BAWACHA ni jangaAmka mkuu..
The world is so fast..!
Pale Tanga kuna Bandari, hiyo shehena ya Mafuta itakuwa inahifadhiwa Tanga na ndio sehemu ambapo meli zitakuwa zinakuja kupakia mzigo wa mafuta..
Sasa kwa Taarifa:
Kuna ajira zaidi ya 15, 000 za muda wa miaka 3 hadi 2020 ambapo hili bomba litakamilika mkuu.
Na kuna kazi za kudumu zaidi 2500 baada ya ujuenzi kukamilika .
Bomba litatoka Hoima - Magharibi mwa Uganda hadi Tanga
Kuna umbali wa maili 880( zaidi ya km 1400)
Sasa mkuu wewe kama huoni faida bado...wacha watu waendelee.
Actually..! Magufuli is sometimes missing his point..!
I don't see if there was neccessity of having all goverment officials for just one event..
Vyombo vya usalama vyotee vya nini sasa kwa mfano..?
Yaani BAWACHA ni janga la watu wasio na kumbukumbu na watu wanafiki kupitilizaAmka mkuu..
The world is so fast..!
Pale Tanga kuna Bandari, hiyo shehena ya Mafuta itakuwa inahifadhiwa Tanga na ndio sehemu ambapo meli zitakuwa zinakuja kupakia mzigo wa mafuta..
Sasa kwa Taarifa:
Kuna ajira zaidi ya 15, 000 za muda wa miaka 3 hadi 2020 ambapo hili bomba litakamilika mkuu.
Na kuna kazi za kudumu zaidi 2500 baada ya ujuenzi kukamilika .
Bomba litatoka Hoima - Magharibi mwa Uganda hadi Tanga
Kuna umbali wa maili 880( zaidi ya km 1400)
Sasa mkuu wewe kama huoni faida bado...wacha watu waendelee.
Kwanini mkuu?Yaani BAWACHA ni janga la watu wasio na kumbukumbu na watu wanafiki kupitiliza
Anabana matumizi mkuuActually..! Magufuli is sometimes missing his point..!
I don't see if there was neccessity of having all goverment officials for just one event..
Vyombo vya usalama vyotee vya nini sasa kwa mfano..?
Yaani Uganda Wanahasara Sna Huyo Jamaa Yao Kaongea Nn Hata Haeleweki,kuwa Na Mtu Km Yule Anaboa Sna
Likifanyika jambo A wanasema walitaka B, Likifanyika B wanasema wanataka A. Likifanyika A na B watasema hayakuwa na umuhimu huku wakiporomosha mitusi mizito. Lakini kama wao wakifanya kidude kiduchu KELELE KIBAO KAMA TEAM KIBA !Kwanini mkuu?