BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
CHONGOLO MGENI RASMI KIKAO CHA WAKUU WA SHULE ZA UMOJA WA WAZAZI TANZANIA- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, Leo Ijumaa tarehe 15 Julai, 2022 anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kikao cha Wakuu wa Shule za Umoja wa Wazazi Tanzania.
Kikao hicho kinatarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Makao Makuu ya Chama jijini Dodoma kuanzia saa nne asubuhi.
#Chongolokazini
#Kaziinaendelea