BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
KM CHONGOLO NA KONGAMANO KUBWA LA MAFUNZO YA UONGOZI NA UWAJIBIKAJI- ASUBUHI HII.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo Leo Jumatano tarehe 13 Julai 2022 atakuwa mgeni rasmi katika Kongamano la Mafunzo ya Uongozi na Uwajibikaji kuhusu Itikadi, Elimu ya Sensa na Makazi, Tehama na usajili wa Wanachama pamoja na Masuala ya Ulinzi na Usalama kwa Viongozi wa Chama.
Kongamano hili linafanyika kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center kuanzia Saa 2 asubuhi hii na litarushwa Mbashara Mitandao ya Kijamii ya CCM na Televisheni mbalimbali. Usikose muda huu.
#CCMApp
#Kaziinaendelea