issenye JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 3,788 Reaction score 5,217 Jul 20, 2023 #21 Mwelezeni chongolo na wapiga vuvuleza wenzake kuwa hakuna mtu/chama anapinga uwekezaji bandarini. Kinachopingwa ni vipengele vya mkataba wa bandari.
Mwelezeni chongolo na wapiga vuvuleza wenzake kuwa hakuna mtu/chama anapinga uwekezaji bandarini. Kinachopingwa ni vipengele vya mkataba wa bandari.
Ironbutterfly JF-Expert Member Joined Feb 5, 2023 Posts 3,042 Reaction score 8,227 Jul 20, 2023 #22 🤣🤣🤣uwanja wa shule wa mazoezi korogwe??hao hata shule hawapendi🤔Sasa unajadil nn hapo?
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jul 20, 2023 #23 Inasikitisha sana kuona mkataba wa kipumbavu sana namna hii unavyotetewa na Watanzania wenzetu! Ama kweli Rushwa hupofusha (kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu).
Inasikitisha sana kuona mkataba wa kipumbavu sana namna hii unavyotetewa na Watanzania wenzetu! Ama kweli Rushwa hupofusha (kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu).