Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

Chongolo: Tunapigana vita vya kiuchumi, wana pa kukimbilia

Mwelezeni chongolo na wapiga vuvuleza wenzake kuwa hakuna mtu/chama anapinga uwekezaji bandarini. Kinachopingwa ni vipengele vya mkataba wa bandari.
 
🤣🤣🤣uwanja wa shule wa mazoezi korogwe??hao hata shule hawapendi🤔Sasa unajadil nn hapo?
 
Inasikitisha sana kuona mkataba wa kipumbavu sana namna hii unavyotetewa na Watanzania wenzetu!
Ama kweli Rushwa hupofusha (kwa mujibu wa Maandiko Matakatifu).
 
Back
Top Bottom