- Thread starter
- #21
AsiliaNdio wajue ustaarabu sasa waacheni uchafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsiliaNdio wajue ustaarabu sasa waacheni uchafu
Unabadilikaje wakati kila mtu kazoea asili yake? Hatuwezi kuwa sawaKama Dunia inabadilika, wewe na hao wamasai mnakwama wapi?
Hv manyara na arusha hakuna maeneo ya wazi ambayo yangeendelezwa kwaajili ya hao wamasai hadi tunaamua kuwapeleka Tanga (ambapo kwa asili sio kwao)?Ikiwa kaya zinazohamishwa zimeridhika, je hii hoja itakua na mashiko, twende Handeni kwa ajili ya utafiti then uje u update uzi wako.
Na walishindwa hata kuwauliza hao wamasai wakalipwa ili kila mtu aende anakojua kunafaa!?Hv manyara na arusha hakuna maeneo ya wazi ambayo yangeendelezwa kwaajili ya hao wamasai hadi tunaamua kuwapeleka Tanga (ambapo kwa asili sio kwao)?
Jibu factMleta mada unaongea mambo mengi sana. Ila nikuhakikishie MAENDELEO NI MABADILIKO. Ndio maana wewe huishi kama alivyoishi babu yako. Tusiogope changamoto za maendeleo. Mtu hubadilika kufuatana na mazingira yake.
NB: Wanaohama ni wananchi wa Ngorongoro na sio wa Loliondo.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Ushawahi kujiuliza kwanini binadamu umbo lake lina mreji sehemu inayotenganisha makalio!?Choo Cha kuchuchumaa Tena kiwe Cha shimo siyo unashusha mijiwe alafu inakunukia
Nani analipa bili za maji za ivyo vyoo vya kuflash ??Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo cha kukaa hawezi kufulahia hata kidogo!
Mfano! Mimi mwenyewe siyo masai, pamoja kufika mataifa kadhaa lakini raha ya choo cha kuchuchumaa bado naona ni bora sana kuliko cha kukaa!
Kwanza utafiti wangu huwa unaniambia choo cha kukaa huwa hakimalizi haja vizuri kama ilivyo choo cha kuchuchumaa!
Ebu waza ukila matunda ya FURU unavyopata tabu kutenga vifungu vifungu polini halafu leo ukajisaidie haja kwenye choo cha kukaa hata iweje HAKITOKI hata ukae chooni siku nzima!
Choo cha kukaa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa, vibonge na wala urojo!
Lakini mtu jabari shababi choo cha kukaa hakifai, kwanza huwa kinanichanganya hata nisijue MKONGE uning'inie kwa ndani au uegemee sinki inje!
Wamasai wa loliondo hawakutakiwa kabisa kujengewa nyumba, Bali wangepewa chaguo ili wajenge nyumba zao wenyewe! Na watawanyike kila mtu aende kijiji anachokijua yeye mwenyewe!
Hivi Masai aliyezoea choo cha pori kwa pori atamudu usafi wa choo cha kuflashi kweli?
Amezoea nyumba ya dongo na nyasi unamuwekea bati hizo kelele za mvua kwenye bati mnauhakika masai atazivumilia kweli?
Mtu aliyezoea upepo asilia kuanzia chumbani hadi mavazi yake havai hata chupi Leo mnamuwekea dirisha la vioo mbauhakika ataishi humo?
Asilimia 80% masai wanategemea dawa kutoka polini, Leo unamhamisha kutoka LOLIONDO kwenye miti ya tiba aliyozoea unampeleka wapi? Ebu niambie tanga kuna Mkongoraah?
Masai kazoea kuhama nyumba kulimotokea msiba sasa leo hii nyumba ya vioo vipi?
Halafu ni waya za umeme mmeweka vizuri maana kukiwa kunashoti mkumbuke masai mmoja akifa kwa umeme wote watakimbia hizo nyumba
Tuache utani ,Nina wasiwasi sana kama hiyo project ya kuwahamisha wamasai kama itadumu!
Tunaweza kuwahamisha kimwili lakini kiroho na akili bado watarudi LOLIONDO!
Hesabu za kisayansi zinaniambia masai atahamishwa Leo kutoka LOLIONDO lakini siku si nyingi atarudi LOLIONDO!
Wacha tuone?
Ndo hapo sasaNani analipa bili za maji za ivyo vyoo vya kuflash ??
All this sababu ya choo cha kukaa. Halafu wapewe tena pesa?Kila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo cha kukaa hawezi kufulahia hata kidogo!
Mfano! Mimi mwenyewe siyo masai, pamoja kufika mataifa kadhaa lakini raha ya choo cha kuchuchumaa bado naona ni bora sana kuliko cha kukaa!
Kwanza utafiti wangu huwa unaniambia choo cha kukaa huwa hakimalizi haja vizuri kama ilivyo choo cha kuchuchumaa!
Ebu waza ukila matunda ya FURU unavyopata tabu kutenga vifungu vifungu polini halafu leo ukajisaidie haja kwenye choo cha kukaa hata iweje HAKITOKI hata ukae chooni siku nzima!
Choo cha kukaa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa, vibonge na wala urojo!
Lakini mtu jabari shababi choo cha kukaa hakifai, kwanza huwa kinanichanganya hata nisijue MKONGE uning'inie kwa ndani au uegemee sinki inje!
Wamasai wa loliondo hawakutakiwa kabisa kujengewa nyumba, Bali wangepewa chaguo ili wajenge nyumba zao wenyewe! Na watawanyike kila mtu aende kijiji anachokijua yeye mwenyewe!
Hivi Masai aliyezoea choo cha pori kwa pori atamudu usafi wa choo cha kuflashi kweli?
Amezoea nyumba ya dongo na nyasi unamuwekea bati hizo kelele za mvua kwenye bati mnauhakika masai atazivumilia kweli?
Mtu aliyezoea upepo asilia kuanzia chumbani hadi mavazi yake havai hata chupi Leo mnamuwekea dirisha la vioo mbauhakika ataishi humo?
Asilimia 80% masai wanategemea dawa kutoka polini, Leo unamhamisha kutoka LOLIONDO kwenye miti ya tiba aliyozoea unampeleka wapi? Ebu niambie tanga kuna Mkongoraah?
Masai kazoea kuhama nyumba kulimotokea msiba sasa leo hii nyumba ya vioo vipi?
Halafu ni waya za umeme mmeweka vizuri maana kukiwa kunashoti mkumbuke masai mmoja akifa kwa umeme wote watakimbia hizo nyumba
Tuache utani ,Nina wasiwasi sana kama hiyo project ya kuwahamisha wamasai kama itadumu!
Tunaweza kuwahamisha kimwili lakini kiroho na akili bado watarudi LOLIONDO!
Hesabu za kisayansi zinaniambia masai atahamishwa Leo kutoka LOLIONDO lakini siku si nyingi atarudi LOLIONDO!
Wacha tuone?
Vyoo vya kukaa kwangu ni hell no!maana unapata kazi ya kuushikilia mdubwashka usiguse sehemu za viambukizi vya maradhiKila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo cha kukaa hawezi kufulahia hata kidogo!
Mfano! Mimi mwenyewe siyo masai, pamoja kufika mataifa kadhaa lakini raha ya choo cha kuchuchumaa bado naona ni bora sana kuliko cha kukaa!
Kwanza utafiti wangu huwa unaniambia choo cha kukaa huwa hakimalizi haja vizuri kama ilivyo choo cha kuchuchumaa!
Ebu waza ukila matunda ya FURU unavyopata tabu kutenga vifungu vifungu polini halafu leo ukajisaidie haja kwenye choo cha kukaa hata iweje HAKITOKI hata ukae chooni siku nzima!
Choo cha kukaa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa, vibonge na wala urojo!
Lakini mtu jabari shababi choo cha kukaa hakifai, kwanza huwa kinanichanganya hata nisijue MKONGE uning'inie kwa ndani au uegemee sinki inje!
Wamasai wa loliondo hawakutakiwa kabisa kujengewa nyumba, Bali wangepewa chaguo ili wajenge nyumba zao wenyewe! Na watawanyike kila mtu aende kijiji anachokijua yeye mwenyewe!
Hivi Masai aliyezoea choo cha pori kwa pori atamudu usafi wa choo cha kuflashi kweli?
Amezoea nyumba ya dongo na nyasi unamuwekea bati hizo kelele za mvua kwenye bati mnauhakika masai atazivumilia kweli?
Mtu aliyezoea upepo asilia kuanzia chumbani hadi mavazi yake havai hata chupi Leo mnamuwekea dirisha la vioo mbauhakika ataishi humo?
Asilimia 80% masai wanategemea dawa kutoka polini, Leo unamhamisha kutoka LOLIONDO kwenye miti ya tiba aliyozoea unampeleka wapi? Ebu niambie tanga kuna Mkongoraah?
Masai kazoea kuhama nyumba kulimotokea msiba sasa leo hii nyumba ya vioo vipi?
Halafu ni waya za umeme mmeweka vizuri maana kukiwa kunashoti mkumbuke masai mmoja akifa kwa umeme wote watakimbia hizo nyumba
Tuache utani ,Nina wasiwasi sana kama hiyo project ya kuwahamisha wamasai kama itadumu!
Tunaweza kuwahamisha kimwili lakini kiroho na akili bado watarudi LOLIONDO!
Hesabu za kisayansi zinaniambia masai atahamishwa Leo kutoka LOLIONDO lakini siku si nyingi atarudi LOLIONDO!
Wacha tuone?
Nani analipa bili za maji za ivyo vyoo vya kuflash ??
Kwa faida gannimeshangaa kusikia mama yenu ana wahonga wamasaai ili wahamie tanga!
Ndo hapo nani ataendelea kulipa bill ya maji na umeme?Siku za mwanzo,serikali imelipa,the rest watajijua,na wengi watakufa,wamezoea kujitibu kwa madawa asilia,huko miti iliyokua kule,mingine hakuna,sijui itakuaje?
kwa faida za kaka na wajomba zake wa oman walio uziwa vitalu vya uwindaji Loliondo....Kwa faida gan
Choo cha kukaa hakikubuniwa kwa ajili ya starehe. Choo hiki kilibuniwa baada ya watu kugundua kuwa watu walio na vitambi au wale ambao ni wajawazito; huwa inakuwa shida saba kwao kuchuchumaa; si rahisi sana kwao kuchuchumaaKila mtu ana asili yake! Na maendeleo ya mtu ili yawe na maana lazima yaguse asili ya mtu!
Ukimtoa masai umasaini aje aishi masaki, hii siyo maendekeo kwake bali ni kashfa na ni kumuua (kumharibu kiasilia na lazima siku atarudi alikotoka)
Mtu aliyezoea kunjunga haja yake polini ukimjengea choo cha kukaa hawezi kufulahia hata kidogo!
Mfano! Mimi mwenyewe siyo masai, pamoja na kufika mataifa kadhaa lakini raha ya choo cha kuchuchumaa bado naona ni bora sana kuliko choo cha kukaa!
Kwanza utafiti wangu huwa unaniambia choo cha kukaa huwa hakimalizi haja vizuri kama ilivyo choo cha kuchuchumaa!
Ebu waza ukila matunda ya FURU unavyopata tabu kutenga vifungu vifungu huko polini halafu leo ukajisaidie haja kwenye choo cha kukaa hata iweje HAKITOKI hata ukae chooni siku nzima!
Choo cha kukaa ni kwa ajili ya wazee, wagonjwa, vibonge na wala urojo!
Lakini mtu jabari shababi choo cha kukaa hakifai, kwanza huwa kinanichanganya hata nisijue MKONGE uning'inie kwa ndani au uegemee sinki inje!
Wamasai wa loliondo hawakutakiwa kabisa kujengewa nyumba, Bali wangepewa chaguo ili wajenge nyumba zao wenyewe popote wanapotaka kwenda! Yaani watawanyike kila mtu aende kijiji anachokijua yeye mwenyewe!
Hivi Masai aliyezoea choo cha pori kwa pori atamudu vipi usafi wa choo cha kuflashi kweli?
Hiyo bili ya maji na umeme nani atamlipia?
Amezoea nyumba ya dongo na nyasi unamuwekea bati hizo kelele za mvua kwenye bati mnauhakika masai atazivumilia kweli?
Mtu aliyezoea upepo asilia kuanzia chumbani hadi mavazi yake havai hata chupi Leo mnamuwekea dirisha la vioo mnauhakika ataishi humo?
Asilimia 80% masai wanategemea dawa kutoka polini (mitishamba), Leo unamhamisha kutoka LOLIONDO kwenye miti ya tiba aliyozoea unampeleka wapi? Ebu niambie tanga kuna Mkongoraah?
Masai kazoea kuhama nyumba kulimotokea msiba sasa leo hii nyumba ya kudumu ya vioo itakuwa vipi?
Halafu hizo waya za umeme mmeweka vizuri kweli? maana kukiwa kunashoti mkumbuke masai mmoja akifa kwa umeme wote watakimbia hizo nyumba
Tuache utani ,Nina wasiwasi sana kama hiyo project ya kuwahamisha wamasai kama itadumu!
Tunaweza kuwahamisha kimwili lakini kiroho na akili bado watarudi LOLIONDO!
Hesabu za kisayansi zinaniambia masai atahamishwa Leo kutoka LOLIONDO lakini siku si nyingi atarudi LOLIONDO!
Wacha tuone?
kwa faida za kaka na wajomba zake wa oman walio uziwa vitalu vya uwindaji Loliondo....