Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

Kama Dunia inabadilika, wewe na hao wamasai mnakwama wapi?
 
Ikiwa kaya zinazohamishwa zimeridhika, je hii hoja itakua na mashiko, twende Handeni kwa ajili ya utafiti then uje u update uzi wako.
Hv manyara na arusha hakuna maeneo ya wazi ambayo yangeendelezwa kwaajili ya hao wamasai hadi tunaamua kuwapeleka Tanga (ambapo kwa asili sio kwao)?
 
Hv manyara na arusha hakuna maeneo ya wazi ambayo yangeendelezwa kwaajili ya hao wamasai hadi tunaamua kuwapeleka Tanga (ambapo kwa asili sio kwao)?
Na walishindwa hata kuwauliza hao wamasai wakalipwa ili kila mtu aende anakojua kunafaa!?
Kwani ghafla hadi wawapetipeti vile
 
Mleta mada unaongea mambo mengi sana. Ila nikuhakikishie MAENDELEO NI MABADILIKO. Ndio maana wewe huishi kama alivyoishi babu yako. Tusiogope changamoto za maendeleo. Mtu hubadilika kufuatana na mazingira yake.

NB: Wanaohama ni wananchi wa Ngorongoro na sio wa Loliondo.

YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
 
Jibu fact
 
Choo Cha kuchuchumaa Tena kiwe Cha shimo siyo unashusha mijiwe alafu inakunukia
 
Choo Cha kuchuchumaa Tena kiwe Cha shimo siyo unashusha mijiwe alafu inakunukia
Ushawahi kujiuliza kwanini binadamu umbo lake lina mreji sehemu inayotenganisha makalio!?
Sehemu ya haja imejificha hadi huyo binadamu achutane ndo vionekane?
Hilo peke yake litakupa majibu kwanini unatakiwa uchuchumae
 
Nani analipa bili za maji za ivyo vyoo vya kuflash ??
 
All this sababu ya choo cha kukaa. Halafu wapewe tena pesa?

Bullshit
 
Vyoo vya kukaa kwangu ni hell no!maana unapata kazi ya kuushikilia mdubwashka usiguse sehemu za viambukizi vya maradhi
 
nimeshangaa kusikia mama yenu ana wahonga wamasaai ili wahamie tanga!
 
Siku za mwanzo,serikali imelipa,the rest watajijua,na wengi watakufa,wamezoea kujitibu kwa madawa asilia,huko miti iliyokua kule,mingine hakuna,sijui itakuaje?
Nani analipa bili za maji za ivyo vyoo vya kuflash ??
 
Siku za mwanzo,serikali imelipa,the rest watajijua,na wengi watakufa,wamezoea kujitibu kwa madawa asilia,huko miti iliyokua kule,mingine hakuna,sijui itakuaje?
Ndo hapo nani ataendelea kulipa bill ya maji na umeme?
 
Choo cha kukaa hakikubuniwa kwa ajili ya starehe. Choo hiki kilibuniwa baada ya watu kugundua kuwa watu walio na vitambi au wale ambao ni wajawazito; huwa inakuwa shida saba kwao kuchuchumaa; si rahisi sana kwao kuchuchumaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…