Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

Ok lakini pia tujiulize chanzo Cha fedha za ujenzi za hizo nyumba, BOQ ipi imetumika, mkandarasi Nani, mwongozo unasemaje, fedha za kuhamisha watu Hawa zimetoka wapi? michoro ya nyuma, msimamizi wa mradi, mradi umekamilika kulingana na BOQ? Kifupi tupate taarifa kamili za chanzo Cha mradi huu.Tuanzie hapa wakuu.
 
Pesa zimetoka kwenye mfuko ganj
 
Ushawahi kujiuliza kwanini binadamu umbo lake lina mreji sehemu inayotenganisha makalio!?
Sehemu ya haja imejificha hadi huyo binadamu achutane ndo vionekane?
Hilo peke yake litakupa majibu kwanini unatakiwa uchuchumae
Hakika mkuu, umewaza mbali sana,
 
Hii imenigusa mkuu



Any way ngoja iendelee kunyesha tuone panapovuja

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Naona wengi wameongea kama leo ndio wameanza kujisaidia
Wengine wanasema eti wamegundua la kuchutama unamalizana na zigo kuliko cha kukaa

Sasa Mbona Haya mambo ya kuchuchumaa yapo tangu ulimwengu uumbwe?
Tangu mdogo unakalishwa kwenye miguu na kina mama

Ila sio kukaa kujisaidia kwa kuchuchumaa kwani hata haja ndogo tumeambiwa tujisaidie kwa kuchuchumaa pia kwani unamaliza mkojo wote ila ukijisaidia umesimama matokeo yake tunayajua ni matone ya mkojo kutoka pindi unatembea tu
Sio ugonjwa bali ni kawaida huwa hauishi kwa kusimama

Turudi kwenye mada yetu hao wamasai wanaweza kujijengea vyoo nje ya nyumba zao au uani kama watataka au kubadili mfumo huo na kuweka choo cha kukaa ambapo unaweza kubadili kwa urahisi tu
 
 
Unapanda juu ya choo,na kuchuchumaa.Lazima uishi kuendana na mazingira,hao wamasai sio wabantu,wanatokea milima ya Golan,Pembe ya Afrika,mbona wamekuja kwa wabantu,na wanaishi,kwenye mazingira ya wabantu.
 
Unapanda juu ya choo,na kuchuchumaa.Lazima uishi kuendana na mazingira,hao wamasai sio wabantu,wanatokea milima ya Golan,Pembe ya Afrika,mbona wamekuja kwa wabantu,na wanaishi,kwenye mazingira ya wabantu.
Dah
 
Vyoo vya zamani tulizoea ukikata gogo unanyanyuka kuendelea na mishe gogo linakatika vizuri na haliachi bakaa ya kutawadha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…