Choo cha kukaa hakimalizi haja; Wamasai wa Loliondo wapewe pesa wajenge nyumba zao wenyewe kulinda asili yao

Nakumbuka nilipanga nyumba moja hivi ilikuwa na hicho choo cha kukaa. Mbona nilikuwa napanda juu yake halafu ninachuchumaa
Kuna jamaa alitumia choo cha kuflashi Kwa Mara ya kwanza alipovuta kamba maji yalitoa sauti kubwa jamaa akatoka nduki nje na nusu gogo[emoji2]
 
Hii reseach yako ni kama mtaalam anayejifungia chumbani aseme anafanya utafiti wa samaki kwa ku google?
Kwa taarifa tu:
1. Ngorongoro Kuna ongerezeko la nyumba nzuri sana za kisasa na ndio sababu zinafanya lile eneo kukosa uhalisia wa kimaasai hivyo sio kweli kuwa wamasai hawapendi au hawajui vitu vizuri
2. Wamasai ndio wanao ongoza kwa kuhama hama kutafuta malisho na kuishi maeneo mapya kwa miezi mitatu hivi na wasipofukuzwa huhamia kabisa; wapo kila mahali huko morogoro, tanga nk ni vile tu walikuwa hawajapangiwa eneo rasmi ila wamezoea kuhama pengine kuliko kabila lingine
3. Choo cha kukaa ni fasheni ila pia kinahitajika kwa wazee na wenye matatizo ya magoti nk. Nafikiri Mungu akikubariki umri utakuja hapa kuandika vinginevyo
4. Dawa za wamasai hazipatikani eneo moja tu; na kuachia hili pia ulifanyie utafiki wako wa ku google....
 
Kwani Handeni mapori ya kunya au kuishi hakunaa? Si wapangishe hizo nyumba wapate pesa walipe kodi zijengee sgr.
 
Ndio wajue ustaarabu sasa waacheni uchafu
Yonomamo na Kayapo ni jamii mbili ambazo ndizo za asilia katika msitu wa Amazon, ndiyo asili yao hata mjini hawapataki wao kukaa mle na mijoka wanaona ndiyo utajiri wao, na dunia imeamua kuwalinda wasisumbuliwe. Ajabu wao hatà hawana effect ya uharibifu wa msitu, ila sasa waliostaarabika ndiyo wanaharibu msitu kwa kudondosha miti wakikata mbao, na kuchoma msitu na kuanzisha migodi ya dhshabu ndani ya msitu. Kule Australua kuna waboriginal nao wako kilocal local tu na wameachwa waendelee kuishi hivyo.
Kuna wengine nimesahau wako nchi gani, wao wanaishi msituni na wakikutuhumu wewe ni mchawi wanakuua na wanakutafuna kabisa kama ng'ombe tu
 
Public toilet choo ni cha kuchuchumaa, mastertoilet ni cha kukaa, sasa choo cha kukaa uzuri wake kuwe na magazeti ndani unajisomea ni kizuri hakichoshi miguu na ni choo bora zaudi kama sio cha kushare
 
Hawa walioko huku mjini huwa wanaenda Vijijini kwao kujisaidia kisha wanarudi tena mjini?

Hadi kunya vichakani ni sehemu ya tamaduni zetu? Kweli?
Tamaduni zingine zimepitwa na wakati, sasa kunya vichakani mnaona ni utamaduni mzuri huo ni ushamba
 
Ushawahi kujiuliza kwanini binadamu umbo lake lina mreji sehemu inayotenganisha makalio!?
Sehemu ya haja imejificha hadi huyo binadamu achutane ndo vionekane?
Hilo peke yake litakupa majibu kwanini unatakiwa uchuchumae
Umewaza kama mtoto anaeanza kujifunza sayansi wa darasa la nne
 
Siku za mwanzo,serikali imelipa,the rest watajijua,na wengi watakufa,wamezoea kujitibu kwa madawa asilia,huko miti iliyokua kule,mingine hakuna,sijui itakuaje?
Uzi mzima hoja ya msingi ni hii hapa,
 
Choo cha kukaa hakikubuniwa kwa ajili ya starehe. Choo hiki kilibuniwa baada ya watu kugundua kuwa watu walio na vitambi au wale ambao ni wajawazito; huwa inakuwa shida saba kwao kuchuchumaa; si rahisi sana kwao kuchuchumaa
[emoji108][emoji108]
 
Nakumbuka nilipanga nyumba moja hivi ilikuwa na hicho choo cha kukaa. Mbona nilikuwa napanda juu yake halafu ninachuchumaa
Don't do it again, vile vyoo havijatengenezwa kuhimili uzito wako wote, nimeshashuhudia Dada mmoja aliye fanya kama wewe halafu kikavunjika na kumchana vibaya sana kwenye paja! Ilichukua takribani masaa 3 kurudishia piece ya steak ya paja iliyokuwa inaning'inia. Hivi vyoo ni vya udongo na nje vina just Ile thin layer ya glass Mfano wa tiles wala tusiviamini Sana kuvipa uzito wote!
 
Hauko mbali na mada
Ushawahi kuona jangili mmasai? Maana majangili ni wakubwa ambao ndo wangelitupisha
 
Jana tu waliotangulia huko Handeni wamekuta matatizo ya network. Baada ya kutatua la network yakaibuka mengine mengi mara sehemu ya kupitishia mifugo, maji wanajaziwa kwenye tenki sijui itaendelea mpaka lini, mifugo haipati pa kunywea maji....
 
Duh!ashukuru sana halijamchana kwenye tunda la Eden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…