Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Ni mfumo tu labda fundi hakuweka wa shattaf. Maana shattaf unanunua kama shattaf na choo kama choo sio kwamba vinakuwa pamoja
Kwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
 
Ukiwa na choo cha kukaa lazima uwe na shattaf ya kutawazia
View attachment 2935822

Au wao wameweka bila hiyo shattaf

Ukiwa na hiko kifaa choo cha kukaa ni salama zaidi kuliko wanaoshika mavi wakati wa kutawaza

Ila choo hiki kinafaa kwa matumizi binafsi au wanandoa tu
Kwamba hicho kidude kinapiga ile sehemu hadi mavi yote yanatoka na kubaki msafi bila ya kutumia mkono.?
Mm hua lazima nitumie mkono kwahy hapo nakosea.?
 
Hivyo ndo vyoo vizuri na salama kwa kutunza AFYA ya mgongo.

Inahitaji usafi Sana na maji Ku we po

Sema watu weusi wachafu Sana hawajazoea usafi bado.
Hujajibu swali la mtoa mada na mimi naongeza la kwangu

Kwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
 
Hivyo ndo vyoo vizuri na salama kwa kutunza AFYA ya mgongo.

Inahitaji usafi Sana na maji Ku we po

Sema watu weusi wachafu Sana hawajazoea usafi bado.
Daktare m mmmmmh

Ninachojua mimi kujisaidia umechuchumaa ndio kiafya zaidi.

Wenyewe wataalamu wa mazoezi wanakuambia ile ni deeeep squat. Bonge la zoezi taaaaamu la stretching kwa miaka zote.
 
Ulaya hivyo ndoo vyoo vyao

Ukijenga nyumba jjtahidi uweke choo cha kukaa ili hata akija mgonjwa wa magoti na mgogo apate sehemu ya kujisaidia.
 
Ukitumia mkono unakosea

Labda huenda presha ya maji ilikuwa ndogo

Ila kinaondoa nnya vizuri tu
Kama ww n mwanaume bc nakuomba uache hy tabia mana unakoelekea ni kubaya, itafika wakati unaenda kujimwagilia tuu kwa starehe zako binafsi.

Naona mada wanailazimisha ielekee kwingine
Watu wana mbinu sana za kujipa starehe 😂 huku JF kulikuwa na story za wanawake kutumia hicho kibomba kijipa starehe kwa sababu vina presha ya maji hvy vinakuwa kama vinawasugua pale mbele, sasa huyu ndugu yetu sijui ana maana gn
 
Kama ww n mwanaume bc nakuomba uache hy tabia mana unakoelekea ni kubaya, itafika wakati unaenda kujimwagilia tuu kwa starehe zako binafsi.

Watu wana mbinu sana za kujipa starehe 😂 huku JF kulikuwa na story za wanawake kutumia hicho kibomba kijipa starehe kwa sababu vina presha ya maji hvy vinakuwa kama vinawasugua pale mbele, sasa huyu ndugu yetu sijui ana maana gn
😂 hata mimi sijui kwa kweli
 
Back
Top Bottom