Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Siku tatu umekaa na mzigo duh hilo kimba si lilitoa harufu mithili ya kijambo cha nyegere?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Siku tatu umekaa na mzigo duh hilo kimba si lilitoa harufu mithili ya kijambo cha nyegere?
😂Ndugu yetu anapoelekea n kubaya, siku sio nyingi ataleta mada za kusifia kibomba
Sasa shida zote zanini hizo na bado mzigo hautok kwa uhuruHivyo vyoo vinafaa kuwe na Maji ya kutosha pia ufunge shattafs kama wengi walivyoshauri.
Mimi nimefunga hivyo hadi kwenye vyoo vya watoto.
Changamoto yake ni ukiwa umekaa kwaajili ya kupata haja alafu Ukute uume umesisima, huwa sipendi vile unavyogusa gusa choo. Hivyo kuishia kuushikilia hadi inamaliza huduma 🙌
Hahaha.............napenda kuwa huru.Sasa shida zote zanini hizo na bado mzigo hautok kwa uhuru
bibafisi navichukia sanaPrakatatumba abaababaa nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza, Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni Soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.
View attachment 2935816
View attachment 2935817
Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.
nikikikuta Public huwa nachuchumaa jua yake, siwezi kaaaChoo cha kukaa kikiwa public sio sawa aisee, kinafaa zaidi kwa mke na mume tu, tena kuwe na shataf.
😅😅nikikikuta Public huwa nachuchumaa jua yake, siwezi kaaa
Kwa kutumia maji.Prakatatumba abaababaa nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza, Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni Soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.
View attachment 2935816
View attachment 2935817
Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.
Kaa kwa kusogea mbele kidogo ili uache nafasi kwa nyuma.Sasa unajisafishaje na choo ni cha kukaa
Mshamba mwingine huyu aliyekulia vijijini huko kavamia jiji.Prakatatumba abaababaa nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza, Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni Soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.
View attachment 2935816
View attachment 2935817
Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.
Kunjia humohumo ndani maana utaanza kupata huduma kwa pamoja(kubwa na ndogo), ikifika muda wa kujisafisha sogea mbele kidogo ili upate nafasi ya kujisafishaKwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
Ishu sio ushamba wa kutoka kijijini, mm naishi mjini na siwezi kutumia hvy vyoo n lazima nikae juu yakeMshamba mwingine huyu aliyekulia vijijini huko kavamia jiji.
Na vipi yale maji ubaepuka vipi yasikurukue matakoniKunjia humohumo ndani maana utaanza kupata huduma kwa pamoja(kubwa na ndogo), ikifika muda wa kujisafisha sogea mbele kidogo ili upate nafasi ya kujisafisha
Ukikata gogo lazima maji yake yakuchumPrakatatumba abaababaa nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.
Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza, Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni Soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.
View attachment 2935816
View attachment 2935817
Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.
Sio watu weusi wote wachafu.Hivyo ndo vyoo vizuri na salama kwa kutunza AFYA ya mgongo.
Inahitaji usafi Sana na maji Ku we po
Sema watu weusi wachafu Sana hawajazoea usafi bado.