Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Huo ni ushamba wako tu, wazungu sio wajinga!
 
Hiki kifaa nilikuta mahali wadada wanakisifia sana kuwa kuna namna kinawasaidia sababu ya ile presha yake basi wanapulizia kwenye papsi
Ukienda maofsini, kati ya vyoo vya wanawake na wanaume, vyoo vinavyoongoza kuharibika shattaf ni vyoo vya wanawake

Nafkir wana press sana ,mzuka ukizidi wanajisahau mpaka wanaharibu shattaf zenyewe

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Vyoo vya kukaa safi sana,mimi napenda vya kukaa,hata mgonjwa anatumia
Faida nyingine ya vyoo vya kukaa ni kwamba vina mifuniko. Chooni huwa kuna vijidudu/bacteria wengi sana na kama mtu angeweza kuona kwa kutumia microscope [emoji436] vijidudu wakati wa kura flash kinyesi angekimbia. Hivyo inashauriwa kwamba ukimaliza kushusha mzigo na kujisafisha, funika mfuniko wa choo ndiyo uflash.
 
Ni washamba tu hasa wale waliokulia kwenye vyoo vya shimo ndio hawajui matumizi ya vyoo vya kukalia. Wanataka kuchuchumaa tu
 
Prakatatumba abaababaa nilienda sehemu moja ugenini, kama ilivyo ada ugenini hata ukae siku mbili Lazima ujibane usiende chooni hovyo hovyo, siku ya tatu nikaona hali sio poa acha niende chooni kufanya harakati muhimu.

Cha kushangaza nikakuta choo cha kukaa, sijawai kukitumia before, nikapiga mahesabu maana nimeshazoea vyoo vyetu vya kulenga, nikasema acha nifanye harakati, baada ya harakati nikaflash fresh maana niliona sehemu ya kubonyeza, Kimbembe kilikuja namna ya kujitawaza maana tishu sikuiona, nikapiga mahesabu kama dakika kumi namna ya kujisafisha, kwa utabe wangu wa namba kwa kusolve, logarithim, integration, na complex number nilishindwa kung'amua ni kwa jinsi gani naweza kujisafisha kwenye choo cha kukalia nikaona hii sasa ni Soo, nikasepa moja kwa moja mpaka nyumba jirani kuomba usaidizi. Jioni ikabidi nimuage mwenyeji kwamba nimepata dharula.

View attachment 2935816

View attachment 2935817

Hivi mlioweka hivi vyoo vya kukaa na hamna tishu huwa mnajisafisha vipi? Nitoeni ushamba.
Hua siwez Acha asili yangu kizembe, nachuchumaa kwa juu ili kulinda alisili yangu
 
Unakuta vyoo hivi wameweka bar, ofisi za umma n.k. huwa vinanikata kinoma...sijui huwa wanawaza nini?
 
Nimezaliwa nimekuta nyumbani Kuna vyoo vya kukaa lakini mim siwezi kukaa aisee naona kinyaa ,kwaiyo huwa napanda juu ya sinki nabalance kombora likishuka lisiende direct kwenye tundu na maji yake ili isinirukie na hii ndo style yangu miaka yte
 
Back
Top Bottom