Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Hivyo vyoo vinafaa kuwe na Maji ya kutosha pia ufunge shattafs kama wengi walivyoshauri.

Mimi nimefunga hivyo hadi kwenye vyoo vya watoto.

Changamoto yake ni ukiwa umekaa kwaajili ya kupata haja alafu Ukute uume umesisima, huwa sipendi vile unavyogusa gusa choo. Hivyo kuishia kuushikilia hadi unamaliza huduma 🙌
 
Sasa shida zote zanini hizo na bado mzigo hautok kwa uhuru
 
bibafisi navichukia sana
 
Kwa kutumia maji.

Kwanza unajisafishaje na tishu, hapo si unajipaka na kuondoka na harufu?

Ninapoingia chooni kupata huduma, cha kwanza naangalia kama maji yapo, nikikuta hamna sifanyi zoezi la huduma.

Nikiwa safarini huwa nabeba maji makubwa kwa matumizi ikiwemo hili la kupata huduma ya kukata gogo.
 
Mshamba mwingine huyu aliyekulia vijijini huko kavamia jiji.
 
Kwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
Kunjia humohumo ndani maana utaanza kupata huduma kwa pamoja(kubwa na ndogo), ikifika muda wa kujisafisha sogea mbele kidogo ili upate nafasi ya kujisafisha
 
Ukikata gogo lazima maji yake yakuchum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…