Choo cha kukaa ni uchafu tu, sasa unajisafisha kwa namna gani?

Daah! Haujazoea labda
 
Kuna bombaa ndogo niraha sana
 
Ishu sio ushamba wa kutoka kijijini, mm naishi mjini na siwezi kutumia hvy vyoo n lazima nikae juu yake
Ndio wewe unaishi mjini lakini umekulia vijijini huko. Huo ushamba wa kijijini ulionao hauwezi kufutika milele. Mbaga Jr
 
Wanawake hawapendi kabisa kushea Sitting Toilet na mwanaume.

Kwanini?

Kwa sababu mwanaume anapokojoa, hata awe na shabaha vipi, lazima matone ya mikojo yasambae pale juu kwenye sinki ya kukalia.

Maoni yako...
Wanatakiwa wawe wanasafisha/kausha sink la kukalia kabla hawajaanza kupata huduma.

Mimi huwa nafanya vile nikikuta sink lina majimaji kwa juu sehemu ya kukalia. Nafanya vile sababu kila mtu anatumia kwa namna yake na kila mmoja ana ustaarabu tofauti, pia kuepusha contamination ya uchafu kati ya mimi na hayo maji.

Ni vizuri uwe unasafisha kwanza kwa tishu au maji hiyo sehemu ya juu ya sink kabla haujaanza kupata huduma
 
Vioo viakukaa nivia wagonjwa wasio weza kuchuchumaa pia baada ya kunya unachamba sio kutawadha kutumia tishu ni kujipakaza mavi [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kwanza vyoo vya kuketi lasimi kwa wagonjwa wasio weza kuchchumaa,kutumia tishu ni kujipaza kinyesi uwe unatumia maji
 
Kweli watu wachafu jamani,yani mtu anaona bola atumie hicho kibomba au tishu kuliko kujisafisha kwa mikono yake ndio maana mimi simpi mtu mkono wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…