Hapa jf kuna watu kweli kweli,vyoo vya kukaa vilitengenezwa kwa ajili ya watu wasio weza kuchuchumaa wagonjwa wa magoti migongo unene uliopitiliza heti mtu anasema kuwa anapenda choo cha kukaa [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Vyoo vya kukaa safi sana,mimi napenda vya kukaa,hata mgonjwa anatumia
Ushambamba tuSikipendi choo cha kukaa kabisa. Naona siku hizi hadi nyumba za wageni wanaviweka sana sijui vinapendewa nini
Usione watu wamevaa suti na siketi nzuli wamo kwenye magali lakini uwezi amini kama kweli wanatumia tishu au kibomba kujichambia wengi wao udhani heti kutumia mikono kujisafisha ni kushika mavi yani watu wachafu sana sana sana heheKwamba hicho kidude kinapiga ile sehemu hadi mavi yote yanatoka na kubaki msafi bila ya kutumia mkono.?
Mm hua lazima nitumie mkono kwahy hapo nakosea.?
Umemaliza kila kitu nilichotaka kuandika, vyoo vya kukaa vinahitaji usafi wa hali ya juu sana.Vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu na usafi. Kuna vitu ambavyo ni lazima viwe kwenye hivi vyoo vya kukaa. Ukikuta hakuna basi ni kosa. 1. Bomba la maji yanayotitirika. 2. Sinki la kunawia mikono. 3. Sabuni 4. toilet paper. 5. Hand tissues (kwenye vyoo vya umma na taulo kwa vyoo vya nyumbani). Pia vyoo vingine vya umma huwa wanaweka disposable toilet seat covers, za kuweka kwenye choo ile sehemu unayokaa. Waafrika wengi mnachukulia chooni ni kama sehemu ambayo ni lazima iwe chafu na hivi vitu nilivyoorodhesha hatuweki. Ndipo tatizo linapoanzia.
Watu wengi ni washamba vyoo vya kukaa vipo kwa sababu ya wangojwa wasio weza kuchuchumaa na wazee na watu wenye unene wa kupindukiaUmemaliza kila kitu nilichotaka kuandika, vyoo vya kukaa vinahitaji usafi wa hali ya juu sana.
Na sisi hatutaki mkono wako unachezea sana maviKweli watu wachafu jamani,yani mtu anaona bola atumie hicho kibomba au tishu kuliko kujisafisha kwa mikono yake ndio maana mimi simpi mtu mkono wangu
Wewe ulipo hapo ni mavi matupu kwanza hata kuchamba baada ya kunya ujui unatumia karatasi ushamba mtupuNa sisi hatutaki mkono wako unachezea sana mavi
Nani kasema anatumia karatasi?Wewe ulipo hapo ni mavi matupu kwanza hata kuchamba baada ya kunya ujui unatumia karatasi ushamba mtupu
Mi huona mtu anayetumia tissue ama toilet paper baada ya kujisaidia ana mapungufu katika mfumo wa maisha yake.Kero yake zaidi nchi za kusini mwa africa wanatumia vyoo hivi tu, halafu hawatumii maji, yani kama hakuna usafi ni cha public full nyesi na matishu, vyoo hivi ni viwanda vya fangasi na UTI kama ni public.
Hata mimi hujiulizaKwanza mimi huwa najiuliza ukienda kukata gogo hali uume upo katika hali ya kusimama mkojo unarukia wapi? Au basi uume umelala inabidi ukojoe kwanza mdio ukae au unakunjia uume humohumo?
Vyo hivi ni usumbufu na hasa iwe sehemu yenye baridi sana
Watumia karatasi uwabeza wanao jiasafisha kwa maji heti wanashika kinyesi[emoji125][emoji125][emoji125]Mi huona mtu anayetumia tissue ama toilet paper baada ya kujisaidia ana mapungufu katika mfumo wa maisha yake.
Haiwezekani ukatumia karatasi kujisafisha na ukatakata hata siku moja.
Mkuu vuka umri wa miaka 55 ili uvipende kwa lazima na kuviona umuhimu wake, vya kuchuchumaa kumbuka unajibeba mzee baba?Sikipendi choo cha kukaa kabisa. Naona siku hizi hadi nyumba za wageni wanaviweka sana sijui vinapendewa nini
Kwa uzeeni sawa ila kufanya kiwe public toilet kwa mazingira ya kwetu naona ni changamoto.Mkuu vuka umri wa miaka 55 ili uvipende kwa lazima na kuviona umuhimu wake, vya kuchuchumaa kumbuka unajibeba mzee baba?
Kama walivyotangulia kusema wadau wengine hapo juu, choo hicho kinafaa private bedroom(wanaita self)na kama ni hotelini, usafi wa hoteli hiyo usiwe ni wa kutiliwa mashaka.
Ukikizoea aina hii ya choo, hata ukiwa matembezini, ukibanwa haja utatamani kurejea nyumbani ukanyee huko.
Ukisikia mtu anachatia chooni ndo yupo kwenye ivo vitu, unawezafanya mambo zaidi ya moja kwa wakati mmoja tana bila ya bughudha yoyote.
Hata kama unaumwa tumbo la kuhara, vyoo hivyo vina sound proof, zile 'mbwiii mbwiii, tratatatata' hazitoki kusikika nje, kwa sababu unapokaa sauti unaibana kuizuia automatik haitoki nje kusikika kama vyoo vya uswahilini, ambavyo ukitoka kujisaidia na kopo lako mkononi hadi unajihisi aibu kwa sauti uloizalisha chooni.
Dah huo mtihani wa kifikra mkubwa sana kwakweli.Watumia karatasi uwabeza wanao jiasafisha kwa maji heti wanashika kinyesi[emoji125][emoji125][emoji125]
Lazima anuke.... anajitawazaje bila kujishika?Sio vyote vina hiki kidder labda vipya
Wait unasena ukitumja hiki ushiki so kama unajirushia HELL
Kwa mwanaume pressure ya maji ikupige kwenye kinyeo aisee...seriously aisee hii hatari ndomana kuna matumikio ya ushoga yanaongezekaPresha ya maji ya shattaf inasafisha kinyeo bila kushika nnya