makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,696
- 109,218
Mkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...Bilioni mia weeeee, una hata milioni mia, acha masikhara wewe, harambee ya ccm kufika bilioni mia iliyumba we unaleta mchezo dogo, tulia dogo maneno ya vijiweni yasikudanganye
Milioni 50 kwenye akaunti, sasa nini faida ya uwaziri aliokuwa nao kipindi chote.Kigwa hata bilioni 100?! Hata yeye atakuwa ameshtuka, labda labda milioni 50 nje ya mali za kudumu
Mmesha anza kutuma missiles, subirini arsenal tushinde kwanza ππMkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
?
Aiseemchele koka, hiyo
Gentleman,
MpumbavuTanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.
Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.
View attachment 3573628
mrangi nyboma
Hebu itamke vizuri BI-LLI-O-NI kwa lafudhi ya Kichaga ππHivi wakuu mnaijua billion
Chris mjinga sana! Kwa kweli hata Mimi ningempiga blockSema Chris naye sio kabisa. Yaani waziri akutafutie kitanda?? Hamis ni bwege ila Chris naye bwege zaidi.
Na lina dharau balaaChris mjinga sana! Kwa kweli hata Mimi ningempiga block
Ndo mana nimekukatalia ningekua sijui nisinge kukataalia, kijanaWe unaijua?
Unachengesha, kwani hapa SI tunabishania nini? mi nasema kigwa Hana bilioni mia we unanambia michango tenaMkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
Sasa harambee na utajiri wa mtu vinahusiana nini, ule ni mchango ni uamuzi wa mtu kutoa.. alichotoa mo na utajiri anaohusishwa nao vinaendana?
Kwani nani wa kwanza kutaja "HARAMBEE YA CCM"Unachengesha, kwani hapa SI tunabishania nini? mi nasema kigwa Hana bilioni mia we unanambia michango tena
Haya basi sawa, umeshinda mkuuNdo mana nimekukatalia ningekua sijui nisinge kukataalia, kijana
Mkuu labda tushinde na njaa, hivi nikikwambia hii timu yetu hovyo huwa hunielewi ndugu yangu? ππ€£Mmesha anza kutuma missiles, subirini arsenal tushinde kwanza ππ
Achana na saikolojia ya Hela Mkuu, Ukiona mpaka Leo Salma kikwete anagonga meza Bungeni ndio ujue Hela ni hatari sanaKigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.
Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Na hiki ndicho kilichopoAchana na saikolojia ya Hela Mkuu, Ukiona mpaka Leo Salma kikwete anagonga meza Bungeni ndio ujue Hela ni hatari sana
Noma sana, vipigo vizito πMkuu labda tushinde na njaa, hivi nikikwambia hii timu yetu hovyo huwa hunielewi ndugu yangu? ππ€£
Maka nakuheshimu sana ujue, na sijawahi kukuvunjia heshima humu ndani, ungeweza kuwasilisha hoja yako bila kunitaja na ukaeleweka.Mkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
Sasa harambee na utajiri wa mtu vinahusiana nini, ule ni mchango ni uamuzi wa mtu kutoa.. alichotoa mo na utajiri anaohusishwa nao vinaendana?
Sasa cocastic mbona mie hapo sijamutajq umejishtukia.. nimetumia jina la MCHELE KOKA, kilugha ya mtaani ina maanisha punga, mchele mchele shoga etc... hiyo KOKA sikumaanisha wewe cocastic..Maka nakuheshimu sana ujue, na sijawahi kukuvunjia heshima humu ndani, ungeweza kuwasilisha hoja yako bila kunitaja na ukaeleweka.
Samahani sana, sitakiiii.