Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Chris Lukosi naye afurahia masahibu ya Kigwangalla

Bilioni mia weeeee, una hata milioni mia, acha masikhara wewe, harambee ya ccm kufika bilioni mia iliyumba we unaleta mchezo dogo, tulia dogo maneno ya vijiweni yasikudanganye
Mkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
Sasa harambee na utajiri wa mtu vinahusiana nini, ule ni mchango ni uamuzi wa mtu kutoa.. alichotoa mo na utajiri anaohusishwa nao vinaendana?
 
Na wewe jiandae kisaikolojia. Siku bi Kiziwi akitolewa utaangukia pua kama ilivyokuwa kwa CHAWA mwenzako Musiba 2021
Gentleman,
mimi niko hapa kwa neema na baraka ya Mungu,
kamwe sitapungukiwa na kitu katika siasa nyepesi sana za Tanzania, tena zenye upinzani dhaifu, uliogawanyika na kupoteza uelekeo.

ni kujipotezea wakati kwa ramli na imani potofu nonsense kama hizo.
 
Tanzania born British self made billionaire almaarufu kama mzee wa madungu jeshi Chris Lukosi kafurahia masahibu yanayomkuta waziri na mbunge wa zamani Hamis Kigwangalla.

Mfanyabiashara huyo maarufu mwenye makazi yake jijini London alionesha kufurahishwa na mahasibu yanayomkumba sasa hivi mbunge huyo wa zamani na kuandika kwenye ukurasa wake wa FB.

View attachment 3573628

mrangi nyboma
Mpumbavu
 
Mkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
Sasa harambee na utajiri wa mtu vinahusiana nini, ule ni mchango ni uamuzi wa mtu kutoa.. alichotoa mo na utajiri anaohusishwa nao vinaendana?
Unachengesha, kwani hapa SI tunabishania nini? mi nasema kigwa Hana bilioni mia we unanambia michango tena
 
Kigwangala atakuwa anawachekea chooni, hawezi kuwa na dhiki hata kidogo, kaishapiga pesa za watanzania, yule hawezi kukosa ukwasi wa bilioni 100+ huko.

Tusijisumbue, na muda wowite akijipendekeza sana anakula uteuzi.
Achana na saikolojia ya Hela Mkuu, Ukiona mpaka Leo Salma kikwete anagonga meza Bungeni ndio ujue Hela ni hatari sana
 
Mkuu mbona hapa umeongea kama mchele koka, hiyo weeeeee!!! Sijaielewa vizuri...
Sasa harambee na utajiri wa mtu vinahusiana nini, ule ni mchango ni uamuzi wa mtu kutoa.. alichotoa mo na utajiri anaohusishwa nao vinaendana?
Maka nakuheshimu sana ujue, na sijawahi kukuvunjia heshima humu ndani, ungeweza kuwasilisha hoja yako bila kunitaja na ukaeleweka.
Samahani sana, sitakiiii.
 
Maka nakuheshimu sana ujue, na sijawahi kukuvunjia heshima humu ndani, ungeweza kuwasilisha hoja yako bila kunitaja na ukaeleweka.
Samahani sana, sitakiiii.
Sasa cocastic mbona mie hapo sijamutajq umejishtukia.. nimetumia jina la MCHELE KOKA, kilugha ya mtaani ina maanisha punga, mchele mchele shoga etc... hiyo KOKA sikumaanisha wewe cocastic..
 
Kigwa naye fala tu,wakati akiwa kwenye mfereji badala apige pesa mingi anaigiza kutembea na kifimbo aonekane mchonga!

Hicho kifimbo mbona hatembei nacho tena? Mchonga aliendelea hata baada ya kustaafu.

BTW: Kigwa bado hajafulia kwa wanaosema ajiajiri,siyo haba anazo kimtindo.😁
 
Back
Top Bottom