Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri watu wa masoko wa Louis Vuiton hawakulijua hili kwamba watumie mabilioni alafu wafeli kwenye lugha![emoji28] Hapo wanajua fanbase kubwa ya messi ipo kwa spanish countries kwao Argentina, Spain, n.kMesi kaponzwa na lugha hiyoooo
Wanaaga kombe la Dunia la mwisho
Tanguu upate picha huu msukule hatupumui😅😅
Wakajaribu ukocha uzee haunaga mjadala hatimaye umewavamiaWanaaga kombe la Dunia la mwisho
LV hiyo....Wenzio wanatangaza biashara.
Sana tuJamaa anazingua
Unafikiri watu wa masoko wa Louis Vuiton hawakulijua hili kwamba watumie mabilioni alafu wafeli kwenye lugha![emoji28] Hapo wanajua fanbase kubwa ya messi ipo kwa spanish countries kwao Argentina, Spain, n.k
Ronardo ana fanbase kubwa duniani ambako wanaongea kingereza hasa England, n.k
Walicholenga LV ni kuwafikia wateja wao hasa wa nchi za ulaya sio uku Nkololo na vingereza vyenu[emoji28]

[emoji23][emoji23][emoji23] enhee huko huko nilipita nikiwa naenda Sirari nililipenda hilo jina na WigelekeloNkololo ndo wapi mkuu hahahaa.
Ya bariadi ulikozaliwa [emoji28]
LV mkanda tu au wallet millioni 1, sisi tushazoea 10 ikizidi saana 50[emoji28]Ni kweli ni waafrika wachache humudu kutumia OG brand product za LV wengi tunagonga mafekfek tu, wewe kama gari tunanunua used unatarajia nini sasa