Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msamehe, ni kupagawa hukohe kumbe cr7 nj uvccm bac sawa
Ndio maana akisikia kuna mkali anataka kuhamia timu yake anaanzisha vibweka vya kutishia kuhama. Tiktak ya Zlatan ilikuwa ya mita nyingi na siku nyingi tu lakini yuko poa sana. Hiyi CR ni mfadhili na msaidiaji sana kwa jamii kwa upande mwingine ukilinganisha na wachezaji wengine. Ila naona ni mtu ambaye hawezi kucheza timu moja na Salah, Suarez, Messi Neymar na wakali wengine, anapenda asuburie kwenye box apewe pande au cross kali amalizie, kwa listi hiyo atasubiri sana.Baada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
ExcellentBaada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
Ndio maana ....................Ni goli lake la kwanza la ticktack
Hakuwai kuweza japo alikuwa anajaribu
kawaida ile sema vipaji vimepugua kipindi hiki, hivyo vitu vya kawaida vinafanywa na watu wachache.Baada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
Roho inakuuma sana sio? Kunywa maji ushushe pumzi usije pata vidonda vya tumbo bure.Watu wote wanaomsifia na kumshabikia Cristiano Ronaldo ni ' Washamba / Mambwigira ' sana halafu hawajui Mpira wakiongozwa na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Clouds fm na tv Shaffih Dauda. Anachokifanya leo huyo Mbwiga / Mshamba Cristiano Ronaldo vimeshafanywa sana na ' Mafundi ' wa Kutukuka akina Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho. Watu kila siku unawakuta katika Vibanda umiza wakitizama ' mipira ' lakini bado mpira wenyewe hawaujui. Inasikitisha mno!
ngoja nikuulize swali naomba unijibu mafundi wote hao against ronaldo.
1. kati ya hao mafundi uliowataja ni nani mpira ukae kushoto au kulia anaweza piga shuti kali nje ya 18 na kufunga? tena sio goli moja wala mawili magoli kibao kwa kutumia miguu yote miwili?
2. ni nani kati ya hao ana uwezo wa kuruka juu kushinda majority ya wachezaji kikapu wa NBA marekani na kufunga goli?
3. kati ya hao uliowataja ni nani anaweza nata hewani sekunde 2 au 3 kusubiria mpira ambao haujafika na kupiga kichwa na kufunga?
![]()
kuongezea tu ronaldo ana magoli zaidi ya 100 ya vichwa, magoli zaidi ya 100 ya mguu ambao hautumii sana (weak foot) hio ndio strength ya ronaldo na kitu kinachomfanya yeye awe wa kipekee kuliko fundi yoyote duniani.
kama unae unaemjua wewe alofanya zaidi ya ronaldo kwenye hayo mambo naomba umtaje hapa. nakusubiria.
Ungekuwa umefanya la maana sana kama ungewashangaa mashabiki wa timu hasimu(juventus)kuliko kuja kutushangaa sisi huku kwenye bara la giza.Maana wao waliokuwa wanamzomea muda woote wa mchezo Ila baada tuu ya kufunga goli lile walianza kushangilia na kumtolea salaam heshima tena cha kuvutia zaidi ilikuwa ndani ya uwanja wao.Tupunguze japo kias chuki kwa waliofanikiwa na kupendwaBaada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
Mbona sasa kapiga kama yeye ndo kaanzisha tikitaka?Ni goli lake la kwanza la ticktack
Hakuwai kuweza japo alikuwa anajaribu
Watu wote wanaomsifia na kumshabikia Cristiano Ronaldo ni ' Washamba / Mambwigira ' sana halafu hawajui Mpira wakiongozwa na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Clouds fm na tv Shaffih Dauda. Anachokifanya leo huyo Mbwiga / Mshamba Cristiano Ronaldo vimeshafanywa sana na ' Mafundi ' wa Kutukuka akina Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho. Watu kila siku unawakuta katika Vibanda umiza wakitizama ' mipira ' lakini bado mpira wenyewe hawaujui. Inasikitisha mno!
Nilikuwa nafunga enzi zangu, shule ikaua kipaji changu!Anaweza
Basi ww hujui mpiraNiliachaga kuangalia mpira baada ya kukithiri kwa overrating za kijinga wanazopata CR na Messi, na alivyoondoka Ronadinho uwanjani, sijaona mchezaji dimbani, umejaa ujinga tu.