Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Hajawai kufunga ata moja
Fatilia kabla hujaongea
Sijaja kuropoka
Kama unabisha leta ushaidi
Youtube ipo
Mkuu mbona usharopoka teyari? Waga unaangalia game za kirafiki? Mwaka jana Portugal vs farao Island kama sijakosea jina lao Ronaldo alipiga goal la tik taka au ulikuwa unamaanisha kwenye club?
 
R7 kesha piga tik-tak nyingi tu japo ya aina hiyo kwa maana ya mpira kuwa juu sana ilikuwa ni burudani Mpya duniani, ndiyo maana hata kocha wake Zinedane badala ya kufurahi kushangilia goli alibaki anazungusha kidole kichwani kwa kuduwaa!!!
Nipe mfano kaka
Maneno kila mtu anayo
 
Urefu wa R7 ni futi 6 na mpira ulikuwa futi 8 juu!! Hivi wewe unaweza kumzidi Zinedane aliyeshangazwa na tik-tak hiyo? Haikuwa ya kawaida!

Aise huyu Zidane sasa 😀😀😀 nikweli haikuwa ya kawaida. Hata mimi nimecheki ni bonge la goli sijawahi kuona duniani...mkuu ebu tukumbushane kidogo!! jumla kafikisha ngapi bicycle kick?? Sio 18 kweli! Au 28?
 
Baada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)

6e365b26d4ccdf3edd1adbf137d8a152.jpg
 
Hii mechi nakumbuka niliicheki live kabisa uwanjani wakati huo
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965)

6e365b26d4ccdf3edd1adbf137d8a152.jpg
 
Hiyo sio bicycle kick
Ilo ni kama la babatov tu
Naona umebadilishia gia angani, Samahani unaweza ukanambia jina lake? na chuki hasa humchoma yule anaeihifazi...! Jamani tuacheni chuki kwa watu ambao ata umchukie hakujui na wala humpunguzii chochote, kumpenda mchezaji mwingine sio sababu ya kumchukia mwingine

Mtu kakuzidi kila kitu hadi dhambi kumchukia ni kujipa stress tu, mashabiki wa juve walisimama kumpigia makofi kwa hicho ambacho wewe una criticize unafikili wao wamewahi kuona mangapi kama yale yanafungwa uwanjani kwao? Kwanini wasimame kwa Cristiano au na wenyewe waliamia Madrid siku hiyo?

Anyway kuna wachezaji wa mpira malaki duniani kote so haiwezekani ata siku moja mchezaji nitakae mpenda mie basi na mtu mwingine ampende yule yule, mie ni mshabiki mkubwa wa messi ila na appreciate uwezo wa ronaldo kwakuwa amedumu kwenye kiwango chake zaidi ya miaka 7 kitu ambacho wachezaji wengine wameshindwa sasa kama mwana michezo naanza vipi kumchukia mtu kama huyo alafu kinafki mtu anasema yuko sawa na kina van persie, Drogba really? unafki mbaya sana
 
Hata wewe unaweza kupiga ukiwa chumbani na mkeo.
Ila thamani ya kitu inakuja pale unapokifanya ukiwa kwenye mazingira flan.
Unadhani hii tiktak angeipiga wakiwa wanacheza laliga kuna mtu angekomaa nayo sana?
 
Mpira wa miguu, soka, kandanda vyovyote utakavyoita ni zaidi ya burudani ni wachache wanaokwenda viwanjani au wanaoangalia luningani na kuburudika kwa kile wanachokiona kwa usahihi.

Mpaka Leo mashabiki wengi wanakwambia BONGO mashabiki hawashangilii mpira muda wote kama ULAYA.

Nimeangalia saana soka luningani, nimechunguza saana kuona kama jambo hilo linaukweli. Nimegundua kuwa si KILA SHABIKI anaburudika kwa usahihi anapoangalia mpira.

Karibu matendo mengi kama si yote kuanzia uwanjani mpaka majukwaani yanafanana tofauti ni ubora tu.

Mashabiki kote wanafurahia matukio PASI murua, VISIGINO, KANZU ,GOLI pasi za uhakika upande unateswa mashabiki huwa kimyaaa.

Ndo maana BICYCLE KICK zimepigwa nyingi viwanja mbalimbali lkn ile ya CR7 mbele ya BUFFON imeburudisha wengi mpaka uwanja mzima Ulisimama na kupiga makofi.

Zizou huyu si kocha tu,ni mchezaji aliyekuwa ni mburudishaji pia akiwa uwanjani fikira jinsi gani? Alivyofanya ,ishara gani? Alionesha?

Fikiria BUFFON kipa aliyefungwa goli hilo ,ishara aliyoonesha inamaanisha nn?


Aaaaah CR7 katenda yasiyotendeka kwa urahisi.
 
yalifanywa na kina pele yalipewa uzito na kusifiwa kwa wakat wake, kama yalifanywa na Rooney pia Rooney alisifiwa kwa wakat huo..hili la Ronaldo ndio latest bicycle kick akija kufunga mwingine naye tutamzungumzia..magoli kama haya yanafanya soka linakuwa na burudani haswa.. sio timu ziwe zinashinda kwa magoli ya kujifunga funga au mpira kujigonga gonga,
 
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)

6e365b26d4ccdf3edd1adbf137d8a152.jpg

Haka kapele kako kamezidiwa na maradona mbali tu.Kwa king Messi ndio kamefunikwa mbali sana.
 
ngoja nikuulize swali naomba unijibu mafundi wote hao against ronaldo.

1. kati ya hao mafundi uliowataja ni nani mpira ukae kushoto au kulia anaweza piga shuti kali nje ya 18 na kufunga? tena sio goli moja wala mawili magoli kibao kwa kutumia miguu yote miwili?

2. ni nani kati ya hao ana uwezo wa kuruka juu kushinda majority ya wachezaji kikapu wa NBA marekani na kufunga goli?

3. kati ya hao uliowataja ni nani anaweza nata hewani sekunde 2 au 3 kusubiria mpira ambao haujafika na kupiga kichwa na kufunga?

article-2279210-179292CC000005DC-948_634x529.jpg


kuongezea tu ronaldo ana magoli zaidi ya 100 ya vichwa, magoli zaidi ya 100 ya mguu ambao hautumii sana (weak foot) hio ndio strength ya ronaldo na kitu kinachomfanya yeye awe wa kipekee kuliko fundi yoyote duniani.

kama unae unaemjua wewe alofanya zaidi ya ronaldo kwenye hayo mambo naomba umtaje hapa. nakusubiria.
Mkuu umemaliza [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Back
Top Bottom