Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Achana na hilo goli, chungulia takwimu, namba uwa hazidanganyi!!
 
Ndio maana akisikia kuna mkali anataka kuhamia timu yake anaanzisha vibweka vya kutishia kuhama. Tiktak ya Zlatan ilikuwa ya mita nyingi na siku nyingi tu lakini yuko poa sana. Hiyi CR ni mfadhili na msaidiaji sana kwa jamii kwa upande mwingine ukilinganisha na wachezaji wengine. Ila naona ni mtu ambaye hawezi kucheza timu moja na Salah, Suarez, Messi Neymar na wakali wengine, anapenda asuburie kwenye box apewe pande au cross kali amalizie, kwa listi hiyo atasubiri sana.
 
Excellent
 
kawaida ile sema vipaji vimepugua kipindi hiki, hivyo vitu vya kawaida vinafanywa na watu wachache.

angalia mboma patrick alichokifanya hapa mkuu.
 
Roho inakuuma sana sio? Kunywa maji ushushe pumzi usije pata vidonda vya tumbo bure.
 


Unistues mkuu akikujibu, asisahau na kutuambia walifunga magoli ya staili hiyo katika mechi gani? (za ligi, au mabingwa )
 
Ungekuwa umefanya la maana sana kama ungewashangaa mashabiki wa timu hasimu(juventus)kuliko kuja kutushangaa sisi huku kwenye bara la giza.Maana wao waliokuwa wanamzomea muda woote wa mchezo Ila baada tuu ya kufunga goli lile walianza kushangilia na kumtolea salaam heshima tena cha kuvutia zaidi ilikuwa ndani ya uwanja wao.Tupunguze japo kias chuki kwa waliofanikiwa na kupendwa
 

Mbona sasa kapiga kama yeye ndo kaanzisha tikitaka?
 
huu uzi wataalamu wa soka walitakiwa walijibu, wengine wamejibu kwa mahaba tu hakuna jipya!
 
Hata kama wengine walishafunga..hili ndio goli zuri latest..hayo mengine yalifungwa na yakaongelewa kwa wakati wake..atakuja mwingine atafunga goli zuri naye ataongelewa vile vile
 
Ila huyu mjinga katusababishia vidonda vya tumbo haters wengi sana maana tunamchukiaaa mwisho wa siku anaendelea na maisha yake , anafunga na mpunga mrefu anavuta ila sisi hata hatujui ila tunamchukia..
 
Huo ni mtazamo wako pia goli kama hilo wamefunga wengi sawa ila kwenye michuano gani? Walicheza na nani wakiwa na umri gani na kulikuwa na faida gani kwa hill goli kwa sababu

Hta zlatan kapiga tena zuri zaidi ila ni mechi ya kirafiki na England

Rooney kapiga ilikuwa EPL na akiwa na umri mdogo sana tuna consider unyumbufu unapungua ukiwa na umri kama RONALDO

Wapo wengi hyo ni mifano lakini unatakiwa kuangali hivyo vigezo

Kwani hata tukisema RONALDO na messi wana wa over rate leo hii ukiangalia hakuna anae stahili kuwa juu yao wote mtoto wingi na ubishioo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…