Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Hajawai kufunga ata moja
Fatilia kabla hujaongea
Sijaja kuropoka
Kama unabisha leta ushaidi
Youtube ipo
Mkuu mbona usharopoka teyari? Waga unaangalia game za kirafiki? Mwaka jana Portugal vs farao Island kama sijakosea jina lao Ronaldo alipiga goal la tik taka au ulikuwa unamaanisha kwenye club?
 
R7 kesha piga tik-tak nyingi tu japo ya aina hiyo kwa maana ya mpira kuwa juu sana ilikuwa ni burudani Mpya duniani, ndiyo maana hata kocha wake Zinedane badala ya kufurahi kushangilia goli alibaki anazungusha kidole kichwani kwa kuduwaa!!!
Nipe mfano kaka
Maneno kila mtu anayo
 
Urefu wa R7 ni futi 6 na mpira ulikuwa futi 8 juu!! Hivi wewe unaweza kumzidi Zinedane aliyeshangazwa na tik-tak hiyo? Haikuwa ya kawaida!

Aise huyu Zidane sasa 😀😀😀 nikweli haikuwa ya kawaida. Hata mimi nimecheki ni bonge la goli sijawahi kuona duniani...mkuu ebu tukumbushane kidogo!! jumla kafikisha ngapi bicycle kick?? Sio 18 kweli! Au 28?
 
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)

 
Hii mechi nakumbuka niliicheki live kabisa uwanjani wakati huo
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965)

 
Hiyo sio bicycle kick
Ilo ni kama la babatov tu
Naona umebadilishia gia angani, Samahani unaweza ukanambia jina lake? na chuki hasa humchoma yule anaeihifazi...! Jamani tuacheni chuki kwa watu ambao ata umchukie hakujui na wala humpunguzii chochote, kumpenda mchezaji mwingine sio sababu ya kumchukia mwingine

Mtu kakuzidi kila kitu hadi dhambi kumchukia ni kujipa stress tu, mashabiki wa juve walisimama kumpigia makofi kwa hicho ambacho wewe una criticize unafikili wao wamewahi kuona mangapi kama yale yanafungwa uwanjani kwao? Kwanini wasimame kwa Cristiano au na wenyewe waliamia Madrid siku hiyo?

Anyway kuna wachezaji wa mpira malaki duniani kote so haiwezekani ata siku moja mchezaji nitakae mpenda mie basi na mtu mwingine ampende yule yule, mie ni mshabiki mkubwa wa messi ila na appreciate uwezo wa ronaldo kwakuwa amedumu kwenye kiwango chake zaidi ya miaka 7 kitu ambacho wachezaji wengine wameshindwa sasa kama mwana michezo naanza vipi kumchukia mtu kama huyo alafu kinafki mtu anasema yuko sawa na kina van persie, Drogba really? unafki mbaya sana
 
Hata wewe unaweza kupiga ukiwa chumbani na mkeo.
Ila thamani ya kitu inakuja pale unapokifanya ukiwa kwenye mazingira flan.
Unadhani hii tiktak angeipiga wakiwa wanacheza laliga kuna mtu angekomaa nayo sana?
 
Mpira wa miguu, soka, kandanda vyovyote utakavyoita ni zaidi ya burudani ni wachache wanaokwenda viwanjani au wanaoangalia luningani na kuburudika kwa kile wanachokiona kwa usahihi.

Mpaka Leo mashabiki wengi wanakwambia BONGO mashabiki hawashangilii mpira muda wote kama ULAYA.

Nimeangalia saana soka luningani, nimechunguza saana kuona kama jambo hilo linaukweli. Nimegundua kuwa si KILA SHABIKI anaburudika kwa usahihi anapoangalia mpira.

Karibu matendo mengi kama si yote kuanzia uwanjani mpaka majukwaani yanafanana tofauti ni ubora tu.

Mashabiki kote wanafurahia matukio PASI murua, VISIGINO, KANZU ,GOLI pasi za uhakika upande unateswa mashabiki huwa kimyaaa.

Ndo maana BICYCLE KICK zimepigwa nyingi viwanja mbalimbali lkn ile ya CR7 mbele ya BUFFON imeburudisha wengi mpaka uwanja mzima Ulisimama na kupiga makofi.

Zizou huyu si kocha tu,ni mchezaji aliyekuwa ni mburudishaji pia akiwa uwanjani fikira jinsi gani? Alivyofanya ,ishara gani? Alionesha?

Fikiria BUFFON kipa aliyefungwa goli hilo ,ishara aliyoonesha inamaanisha nn?


Aaaaah CR7 katenda yasiyotendeka kwa urahisi.
 
yalifanywa na kina pele yalipewa uzito na kusifiwa kwa wakat wake, kama yalifanywa na Rooney pia Rooney alisifiwa kwa wakat huo..hili la Ronaldo ndio latest bicycle kick akija kufunga mwingine naye tutamzungumzia..magoli kama haya yanafanya soka linakuwa na burudani haswa.. sio timu ziwe zinashinda kwa magoli ya kujifunga funga au mpira kujigonga gonga,
 
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)


Haka kapele kako kamezidiwa na maradona mbali tu.Kwa king Messi ndio kamefunikwa mbali sana.
 
Mkuu umemaliza [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…