Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Sema lolote utakalo. Ni haki yako kikatiba. Hainisumbui kabisaa.
Haijaniuma hata kidogo kijana wangu.Naona imekuuma sana mkuu. Sorry 4 that. Ingawa ni black mwenzetu ila sio kumpa sifa kihivyo.lazima tuseme ukweli. Messi na Diego wameufikisha mbali sana mpira ukilinganisha na hako kapele kako media zinamlinda.
Poleee unaruhusiwa kufuta hii aibuBARCAANABAKA MTU 2-0
mfungaji ni Mfalme.
Udasebaje?[emoji13]BARCAANABAKA MTU 2-0
mfungaji ni Mfalme.
BARCAANABAKA MTU 2-0
mfungaji ni Mfalme.
Unauliza jibu MKUU? R7 ndo mpango mzima! Messi ni mzuri lakini si mchezaji aliyekamilika kisoka! 1. Anatumia mguu mmoja tu wa kushoto, wa kulia hawezi kabisa! 2. Hawezi kutumia kichwa chake kisoka! Lini mara ya mwisho Messi alifunga goli kwa kichwa! 2. Uwezo wake wa kuruka hewani ni Mdogo sana! 4. Hana nguvu (physic) sana sana anategemea kulindwa na marefa tu!!! 5. Hana vitu adimu zaidi ya chenga!! Huwezi kutegemea kuona kitu kipya kwa Messi!!
Duhh nimecheka sana ππππ
Yupi unamkubali zaidi! MESSI AU RONALDO?
Hakuna aliyesema kuwa tik-tak ni mpya duniani! Tunachosema kiasi cha urefu alichoruka ili kuufikia mpira ulioko futi 8 juu!!! Hii picha inamwonesha Pele akiwa ameruka kama futi 4 tu na yuko usawa wa kiuno cha wachezaji wenzake!! Itazame clip ya R7 tena!Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)
Siyo kweli! Mbona Pele walimtangaza sana na Maradona enzi zao na bado wanawaenzi japo walitoka huko huko marekani ya kusini?Pala ni bala la ulaya na Ronaldo yupo ulaya lazima watangaze cha kwao na sio kumtangaza Messi aliyetoka America
Chogo chemba ni tofauti MKUU! Chogo chemba inahusisha kupiga mpira mbele kwa staili ya kuchanua miguu na mpira haupiti juu ya kichwa cha mpigaji! Kumbuka Chogo alikuwa "Centre half" wa simba, na ile ilikuwa staili yake ya kuondosha mipira hatarini!!! Hii ni tofauti na overhead bicycle kick ambapo mpira unapita juu ya kichwa ukiurudisha nyuma yako!! Chogo chemba inatumiwa hasa na mabeki wakati overhead bicycle kick inatumiwa zaidi na washambuliaji!!!Chogo chemba wa Simba ndio wa kwanza ..baada ya ku copy kutoka kwa Pele na Garinvha na Tostao
Unauliza jibu MKUU? R7 ndo mpango mzima! Messi ni mzuri lakini si mchezaji aliyekamilika kisoka! 1. Anatumia mguu mmoja tu wa kushoto, wa kulia hawezi kabisa! 2. Hawezi kutumia kichwa chake kisoka! Lini mara ya mwisho Messi alifunga goli kwa kichwa! 2. Uwezo wake wa kuruka hewani ni Mdogo sana! 4. Hana nguvu (physic) sana sana anategemea kulindwa na marefa tu!!! 5. Hana vitu adimu zaidi ya chenga!! Huwezi kutegemea kuona kitu kipya kwa Messi!!
Haijalishi ni futi mbili au ishirini. Ni wazi ulikuwa hujazaliwa wakati huo na hujui jinsi Pele alivyotesa enzi zetu. Huyo Ronaldo ni mtoto wa juzi tu na anarudia yale ambayo Pele amekwisha yafanya na kamwe hatomfikia.Hakuna aliyesema kuwa tik-tak ni mpya duniani! Tunachosema kiasi cha urefu alichoruka ili kuufikia mpira ulioko futi 8 juu!!! Hii picha inamwonesha Pele akiwa ameruka kama futi 4 tu na yuko usawa wa kiuno cha wachezaji wenzake!! Itazame clip ya R7 tena!
yaani wewe unamwita cr7 mshamba duh..........mimi sio shabiki wa cr7 ila wewe ni bonge la ZWAZWAWatu wote wanaomsifia na kumshabikia Cristiano Ronaldo ni ' Washamba / Mambwigira ' sana halafu hawajui Mpira wakiongozwa na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Clouds fm na tv Shaffih Dauda. Anachokifanya leo huyo Mbwiga / Mshamba Cristiano Ronaldo vimeshafanywa sana na ' Mafundi ' wa Kutukuka akina Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho. Watu kila siku unawakuta katika Vibanda umiza wakitizama ' mipira ' lakini bado mpira wenyewe hawaujui. Inasikitisha mno!
KWELI KABISAHaijalishi ni futi mbili au ishirini. Ni wazi ulikuwa hujazaliwa wakati huo na hujui jinsi Pele alivyotesa enzi zetu. Huyo Ronaldo ni mtoto wa juzi tu na anarudia yale ambayo Pele amekwisha yafanya na kamwe hatomfikia.