Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Sema lolote utakalo. Ni haki yako kikatiba. Hainisumbui kabisaa.

Naona imekuuma sana mkuu. Sorry 4 that. Ingawa ni black mwenzetu ila sio kumpa sifa kihivyo.lazima tuseme ukweli. Messi na Diego wameufikisha mbali sana mpira ukilinganisha na hako kapele kako media zinamlinda.
 
Haijaniuma hata kidogo kijana wangu.
 
Pala ni bala la ulaya na Ronaldo yupo ulaya lazima watangaze cha kwao na sio kumtangaza Messi aliyetoka America
 
Watu washafunga sana
IMG_20180407_121354.JPG
IMG_20180406_123544.JPG
 
Attachments

  • FB_IMG_15228469009917417.jpeg
    FB_IMG_15228469009917417.jpeg
    21.4 KB · Views: 35
Chogo chemba wa Simba ndio wa kwanza ..baada ya ku copy kutoka kwa Pele na Garinvha na Tostao
 
Duhh nimecheka sana 😀😀😀😀

Yupi unamkubali zaidi! MESSI AU RONALDO?
Unauliza jibu MKUU? R7 ndo mpango mzima! Messi ni mzuri lakini si mchezaji aliyekamilika kisoka! 1. Anatumia mguu mmoja tu wa kushoto, wa kulia hawezi kabisa! 2. Hawezi kutumia kichwa chake kisoka! Lini mara ya mwisho Messi alifunga goli kwa kichwa! 2. Uwezo wake wa kuruka hewani ni Mdogo sana! 4. Hana nguvu (physic) sana sana anategemea kulindwa na marefa tu!!! 5. Hana vitu adimu zaidi ya chenga!! Huwezi kutegemea kuona kitu kipya kwa Messi!!
 
Pele alishafanyaga hayo mambo zamani tu enzi zetu tulipokuwa vijana. Hii iliitwa Bicycle Kick (hapa ni Brazil vs Belgium 1965; Maracana Stadium, Rio de Janeiro)

6e365b26d4ccdf3edd1adbf137d8a152.jpg
Hakuna aliyesema kuwa tik-tak ni mpya duniani! Tunachosema kiasi cha urefu alichoruka ili kuufikia mpira ulioko futi 8 juu!!! Hii picha inamwonesha Pele akiwa ameruka kama futi 4 tu na yuko usawa wa kiuno cha wachezaji wenzake!! Itazame clip ya R7 tena!
 
Chogo chemba wa Simba ndio wa kwanza ..baada ya ku copy kutoka kwa Pele na Garinvha na Tostao
Chogo chemba ni tofauti MKUU! Chogo chemba inahusisha kupiga mpira mbele kwa staili ya kuchanua miguu na mpira haupiti juu ya kichwa cha mpigaji! Kumbuka Chogo alikuwa "Centre half" wa simba, na ile ilikuwa staili yake ya kuondosha mipira hatarini!!! Hii ni tofauti na overhead bicycle kick ambapo mpira unapita juu ya kichwa ukiurudisha nyuma yako!! Chogo chemba inatumiwa hasa na mabeki wakati overhead bicycle kick inatumiwa zaidi na washambuliaji!!!
 
Unauliza jibu MKUU? R7 ndo mpango mzima! Messi ni mzuri lakini si mchezaji aliyekamilika kisoka! 1. Anatumia mguu mmoja tu wa kushoto, wa kulia hawezi kabisa! 2. Hawezi kutumia kichwa chake kisoka! Lini mara ya mwisho Messi alifunga goli kwa kichwa! 2. Uwezo wake wa kuruka hewani ni Mdogo sana! 4. Hana nguvu (physic) sana sana anategemea kulindwa na marefa tu!!! 5. Hana vitu adimu zaidi ya chenga!! Huwezi kutegemea kuona kitu kipya kwa Messi!!

Ni aibu kumsifia anaetumia nguvu na anaetumia akili nyingi.

Fahamu pia Striker na attacking midfielder ni vitu viwili tofauti kabisa. Kwahiyo usiseme eti amekamilika. yeye si anasubiri atengewe afunge sio, na kupiga penalt!! wakati mwenzie anaondoka na kijiji, anatengeneza, passes na anatoa assits kwa wenzie. Vyote hivi huvioni mkuu na kukubali uwezo wake!!! Hizo sasa huwenda ni chuki sasa mkuu!

Hakuna aliyesema kuwa tik-tak ni mpya duniani! Tunachosema kiasi cha urefu alichoruka ili kuufikia mpira ulioko futi 8 juu!!! Hii picha inamwonesha Pele akiwa ameruka kama futi 4 tu na yuko usawa wa kiuno cha wachezaji wenzake!! Itazame clip ya R7 tena!
Haijalishi ni futi mbili au ishirini. Ni wazi ulikuwa hujazaliwa wakati huo na hujui jinsi Pele alivyotesa enzi zetu. Huyo Ronaldo ni mtoto wa juzi tu na anarudia yale ambayo Pele amekwisha yafanya na kamwe hatomfikia.
 
Watu wote wanaomsifia na kumshabikia Cristiano Ronaldo ni ' Washamba / Mambwigira ' sana halafu hawajui Mpira wakiongozwa na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Clouds fm na tv Shaffih Dauda. Anachokifanya leo huyo Mbwiga / Mshamba Cristiano Ronaldo vimeshafanywa sana na ' Mafundi ' wa Kutukuka akina Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho. Watu kila siku unawakuta katika Vibanda umiza wakitizama ' mipira ' lakini bado mpira wenyewe hawaujui. Inasikitisha mno!
yaani wewe unamwita cr7 mshamba duh..........mimi sio shabiki wa cr7 ila wewe ni bonge la ZWAZWA
 
Haijalishi ni futi mbili au ishirini. Ni wazi ulikuwa hujazaliwa wakati huo na hujui jinsi Pele alivyotesa enzi zetu. Huyo Ronaldo ni mtoto wa juzi tu na anarudia yale ambayo Pele amekwisha yafanya na kamwe hatomfikia.
KWELI KABISA
 
Back
Top Bottom