Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Christiano Ronaldo ndiye wa kwanza kupiga Tik tak Duniani?

Nadhani ingekuwa bora sana kama ungeanisha hizo tofauti na maeneo ambayo Messi anamzidi Ronaldo; kuliko kujenga hoja kwenye goli moja katika zaidi ya miaka 10 ya mpira wa Ronaldo.

Hivi hatuwezi kukaa na kuenjoy mpira huku tukiwaangalia Messi na Ronaldo wakicheza?

Nakumbuka kipindi chetu miaka ya 2000 kule tulikuwa tunafurahia mpira wa akina Bagio, Christian Vieri, Luis Figo, De Lima Ronaldo, Roberto Carlos, Zidane, Kluivert,Ronadinho, Toto, Rivaldo, Edgar Davis, Pavol Nedved na wengine wengi bila kuwashindanisha na badala yake tulikuwa tunaenjoy mpira tu.
UEFA tulikuwa tunaangalia ITV kupitia CFI mdhamini akiwa Total.....
 
Ni kweli, kipindi hicho wachezaji wazuri walikuwa wengi na mpira ulikuwa na ladha saafi huchoki kuangalia mpira.

Siku hizi wachezaji ni wa kawaida, zile ladha za mpira kama za zamani hakuna...!!
 
Ni kweli, kipindi hicho wachezaji wazuri walikuwa wengi na mpira ulikuwa na ladha saafi huchoki kuangalia mpira.

Siku hizi wachezaji ni wa kawaida, zile ladha za mpira kama za zamani hakuna...!!

Ni kweli maana kipindi kile sio washambuliaji tu bali hadi Mabeki na viungo bora kabisa.
Ila naona sasa hivi vijana anaangalia wachezaji wachache na focus ipo kwenye ligi mbili tu!
Enzi zile za akina Paolo Maldini....
 
Niliachaga kuangalia mpira baada ya kukithiri kwa overrating za kijinga wanazopata CR na Messi, na alivyoondoka Ronadinho uwanjani, sijaona mchezaji dimbani, umejaa ujinga tu.
Ronaldino sijaona mfano wake to be honest...
 
Wivu mbaya sana unaweza ukaumwa.

Mashabiki wa Juve walikubali jamaa ni mkali wakampa heshima yake wewe ndugu yangu Mmatumbi umejaa chuki zisizo na msingi, kweli watu weusi tunasafari ndefu sana.
 
Ni wengi wamefunga aina hiyo ya magoli na hakukuwa na shamra shamra za kuzidi,lkn kwa u star wake yawezekana watu walipenda na yeye afunge aina hiyo ya magoli na wamesubiri sana, ghafla imewezekana
[emoji3] [emoji3] kweli mkuu
 
Si Cr7 wala Messi huyu jamaa Mkuu alikuwa ni habari nyingine kabisa. Mpira kama vile ulikuwa unamsujudia afanye vile atakavyo nao unakubali amri.

Dunia isubiri miaka mingi kumpata GAUCHO mwingine. Cr7 haingii hapa
 
Baada ya kufunga magoli mawili kati ya matatu Christian Ronaldo amekua akipewa sifa nyingi hasa kwa lile goli la tik tak.
Najiuliza nini cha ajabu pale?Mbona ni wengi sana hadi sasa washafunga kwa style ile?
Nilichogundua Cr7 ana Nyota tu ya kupendwa kama ilivyokua kwa David Beckam Na ndio kikubwa kinachompa support kwa watu ingawa nakubali ni mfungaji hodari Mwenye shabaha ya goli,ni shabaha na kariba zilezile za akina Van Persie..Didier...Alex Sanchez Drogba .Suarez...lewadonsk..Naymar Jr..nk
Mwisho wa Siku unagundua cr7 anasafiria Nyota za kupendwa lkn ni wa kawaida sana
Kosa moja kubwa walifanyalo wapenzi wa cr7 ni kutaka kumshindanisha Na Messi,Kiukweli Messi ana Kariba Na style tofauti Na cr7 Kariba ya messi kwa sasa waweza waweka group moja Na Mohd Salah,Eden Hazard, hawa sio watu wa front kusubiri kufunga kundi hili wanakua Na majukumu mengi zaidi ya nyavu.
Hivi unaanzaje kumlingamisha CR7 na hao uliowataja?
Rekodi ya CR7 ndio inamfanya watu wamuongelee sio nyota tu.
 
Si Cr7 wala Messi huyu jamaa Mkuu alikuwa ni habari nyingine kabisa. Mpira kama vile ulikuwa unamsujudia afanye vile atakavyo nao unakubali amri.
Alikuwa ni Ball dancer wa ajabu. kiungo mchezeshaji, aliyekuwa na jukumu la kuwachosha vilivyo viungo na mabeki kwa chenga zake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hakuwa mtu wa kawaida yule Mkuu halafu speed yake sasa! We acha tu.

Alikuwa ni Ball dancer wa ajabu. kiungo mchezeshaji, aliyekuwa na jukumu la kuwachosha vilivyo viungo na mabeki kwa chenga zake
 
Hakuwa mtu wa kawaida yule Mkuu halafu speed yake sasa! We acha tu.
Kumpata Gaucho mwingine au mchezaji wa aina ya Gaucho, mimi naamini Gaucho mwingine atatokea Brazil, ile nchi inajua kulea vipaji siyo kufundisha vipaji, wachezaji weeengi wenye vipaji vya ajabu ajabu ni waBrazil
 
Zidane alifunga zaidi ya hilo halafu ni fainali, goli kali ambalo liliwapa ubingwa dhidi ya Liverkusen...ninachoona wengi wameanza kuangalia mpira hv karibuni...CR kafunga goli kwenye hatua ya robo hv angefunga fainali sijui ingekuwaje?..Ni kweli Cr anajua ila amefanya marudio tu, nasubiri afanye jipya.
 
Niliachaga kuangalia mpira baada ya kukithiri kwa overrating za kijinga wanazopata CR na Messi, na alivyoondoka Ronadinho uwanjani, sijaona mchezaji dimbani, umejaa ujinga tu.
upo sawa mkuu
 
Watu wote wanaomsifia na kumshabikia Cristiano Ronaldo ni ' Washamba / Mambwigira ' sana halafu hawajui Mpira wakiongozwa na Mchambuzi wa Soka na Mtangazaji wa Clouds fm na tv Shaffih Dauda. Anachokifanya leo huyo Mbwiga / Mshamba Cristiano Ronaldo vimeshafanywa sana na ' Mafundi ' wa Kutukuka akina Zinedine Zidane na Ronaldinho Gaucho. Watu kila siku unawakuta katika Vibanda umiza wakitizama ' mipira ' lakini bado mpira wenyewe hawaujui. Inasikitisha mno!
ngoja nikuulize swali naomba unijibu mafundi wote hao against ronaldo.

1. kati ya hao mafundi uliowataja ni nani mpira ukae kushoto au kulia anaweza piga shuti kali nje ya 18 na kufunga? tena sio goli moja wala mawili magoli kibao kwa kutumia miguu yote miwili?

2. ni nani kati ya hao ana uwezo wa kuruka juu kushinda majority ya wachezaji kikapu wa NBA marekani na kufunga goli?

3. kati ya hao uliowataja ni nani anaweza nata hewani sekunde 2 au 3 kusubiria mpira ambao haujafika na kupiga kichwa na kufunga?

article-2279210-179292CC000005DC-948_634x529.jpg

kuongezea tu ronaldo ana magoli zaidi ya 100 ya vichwa, magoli zaidi ya 100 ya mguu ambao hautumii sana (weak foot) hio ndio strength ya ronaldo na kitu kinachomfanya yeye awe wa kipekee kuliko fundi yoyote duniani.

kama unae unaemjua wewe alofanya zaidi ya ronaldo kwenye hayo mambo naomba umtaje hapa. nakusubiria.
 
Niliachaga kuangalia mpira baada ya kukithiri kwa overrating za kijinga wanazopata CR na Messi, na alivyoondoka Ronadinho uwanjani, sijaona mchezaji dimbani, umejaa ujinga tu.
Mhuuu ni mpira huu huu Wa miguu au!?
 
Nadhani ingekuwa bora sana kama ungeanisha hizo tofauti na maeneo ambayo Messi anamzidi Ronaldo; kuliko kujenga hoja kwenye goli moja katika zaidi ya miaka 10 ya mpira wa Ronaldo.

Hivi hatuwezi kukaa na kuenjoy mpira huku tukiwaangalia Messi na Ronaldo wakicheza?

Nakumbuka kipindi chetu miaka ya 2000 kule tulikuwa tunafurahia mpira wa akina Bagio, Christian Vieri, Luis Figo, De Lima Ronaldo, Roberto Carlos, Zidane, Kluivert,Ronadinho, Toto, Rivaldo, Edgar Davis, Pavol Nedved na wengine wengi bila kuwashindanisha na badala yake tulikuwa tunaenjoy mpira tu.
UEFA tulikuwa tunaangalia ITV kupitia CFI mdhamini akiwa Total.....
Asante Mkuu jerrytz. Na pia tuwakumbuke akina Zinadini Zidani, Diego Maradona, Ferenc Puskas, Paolo Maldin, Gerd Muller, Romario, Lothar Matthaus,Rud Gullith, Thiery Henry, Raul, Eric Cantona, Alan Shearer etc
 
[emoji420]Kawaulizeee mashabiki wa Juve kwanini walisimama na kupigaa makofii,,,, alafu uandike thread nyingine....
 
Back
Top Bottom