Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
- Thread starter
-
- #161
Binamu hivi hujui kuwa kile kijiti chenye nyama na misuli mingi kikisimama hakinaga cha mtu na mdogo wake?Kwani akiwa divorce Ina maana Hana mubaba mwingine wa kumpoza mpaka ampe huyo mdogo wake wa nne?
oyaah haya mashangazi acha tu bro😋sipati picha shusho anavo lilia dushe 😋😋😋,toto chocolate ya maana
Zab1:1Wewe na wenye mawazo kama yako mna safari ndefu kuujua ukristo , shusho ni mwinjilisti kwa njia ya nyimbo za injili, ili afanikishe huduma yake anahitaji wenye kasoro kama diamond na wengine ambao nyie mnawaita wahuni ,maana hao ndio wanahitaji wokovu ,,,Yesu kristo aliwaambia watu daktari ni kwa ajili ya wagonjwa na siyo wenye afya,akajichanganya na makahaba na watoza ushuru na mwisho walibadilika,ie Elizabeth,mathayo na wengine I,, na alifanya hivo coz anajua Dunia siyo mbinguni,na wengi waliopo huku wamepotea,na lengo la huduma yake ni kurudisha waliopotea,so walikuwa kipaumbele
Kosa la shusho ni kuthaminisha huduma yake katika pesa wakati anajua wengi Bado wanahitaji wokovu,. ,Na mbaya zaidi anataka thamani yake bila hata ya kumtaja Mungu aliyembariki, hii ilimponza Musa kule alikogonga maji mara ya pili nafikiri,, alijivika uwezo akamsahau aliyempa uwezo,na matokeo yake hakuifikia nchi ya ahadi, ,,Mungu amuongoze ,maana Bado anahitajika
Maiko Jackson ni me na Shusho ni ke wanafananaje sasa?Christina Shusho amekuwa kama Michael Jackson
Kijiti kinapenya tu au sio 🤣 🤣Binamu hivi hujui kuwa kile kijiti chenye nyama na misuli mingi kikisimama hakinaga cha mtu na mdogo wake?
Lina mubaba amechoka ndio maana Shusho hana time na wazee 😂
Amefunguka da Christina...
"Tunaongea sana pamoja, yeye akiwa na shida ananipigia namshauri kama dada yake na mimi nikiwa na shida namtafuta. Tunazungumza mengi mengine ni ya siri na tumekuwa karibu kwa sababu wote tunatoka Kigoma"
"Kiukweli hakuna mtu anayeweza kunilipa nikaimbe kwenye tamasha lake, tunafanya tuu kusaidiana maana binafsi nikisema nianze kuweka dau langu hakuna wa kunilipa hiyo pesa"
Christina Shusho, 'Msanii' wa muziki wa Injili Tanzania.
#kuna uwezekano wa Mond kuokoka mwaka huu[emoji28]View attachment 2763075
Rangi " amejichubua"Maiko Jackson ni me na Shusho ni ke wanafananaje sasa?
Kweli,,,Christina Shusho amekuwa kama Michael Jackson
Hatuna uhakika kama Almas anafaidi, ila kwa Shusho uhakika wa kufaidi upo, si unajua kipele kikikunwa raha huwa ipo kwa mkunwaji na sio mkunaji 😜Kijiti kinapenya tu au sio 🤣 🤣
Dah basi Mondi anafaidi maana li Tina ni kizuri bwana
Oooh sawa, hata kope kaweka za bandia 😂Rangi " amejichubua"
Ukishasema inategemea na mazingira ujue ushakula 😅Itategemea na mazingira
Itakuwa ni kimasihara 😂Ukishasema inategemea na mazingira ujue ushakula 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah...nyie watu wahuni sanaHatuna uhakika kama Almas anafaidi, ila kwa Shusho uhakika wa kufaidi upo, si unajua kipele kikikunwa raha huwa ipo kwa mkunwaji na sio mkunaji 😜
Hakuna cha kimasihara huyo dada kristina ni shangazi la kwendaItakuwa ni kimasihara 😂
Hupendagi kuujua ukweli?🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Dah...nyie watu wahuni sana
Kazi kwenu team mishangaziHakuna cha kimasihara huyo dada kristina ni shangazi la kwenda
Unanitukana mkuuKazi kwenu team mishangazi
Sikutukani mkuu, ila ikiwa wewe ni addicted na mishangazi basi una namba yako ktk team mishangazi 😂Unanitukana mkuu