dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
Angel Bernard ana kismati ya kuolewa kaolewa huko USA BABY na mjeda mwaka sasaUtafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Christina aliondoka siku nyingi sana kwa mumewe kabla ya haya mahojiano. Tangu membe rip akiwa waziri.Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Kisaikolojia wanataka waliowazidi Ili wawaongoze ila akikuzidi tuu tayari ni tatizo.Umaarufu na pesa ni shetani mkubwa wa wanawake
Kila mtu huitwa kivyake...Kwahiyo Mungu alimwambia amwache mumewe ambaye ni mchungaji ili iweje?
Ushawishi wake kwa wanandoa unapotosha pakubwa najua kila lifanyikalo lina Shelia na katiba yake na tukiingia kisimani kuna vitabu vitakatifu je yeye hayo aliyafanya kwa mjibu wa maandiko au ni mihemko yake tu,je waumini atakawowaongoza nawe watamani waachiwe ili wakatimize ndoto zaoMwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa 5newsTZ.View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Akili kubwa kuliko anao waongoza. Hakuna kundi la ng'ombe linalochunga masai, masai ndo anayechunga kundi la ng'ombe. Ukishaona kiongozi wako ni kilaza, ujue mnaoongozwa naye ni vilaza kumzidi.Kuna wengine ni takwa la kisheria, pia kuwa kiongozi haina maana ya akili kubwa.
Hapa kwenye Siri na Yesu ndio kunawafanya watu wasimuelewe Christina.Nina siri naye Yesu
Yanifanya niwe jasiri
Kwa amani nayo dhiki
Yanifanya niwe jasiri
Yaniburudisha, nikirukaruka
Hosana, Amen
Yaniburudisha, nikirukaruka
Nikiimba Hosana, Amen
Kweli kabisa!Hapa kwenye Siri na Yesu ndio kunawafanya watu wasimuelewe Christina.
al Islam diinaWaweza kuwa na point yenye akili, lakini namna ya uwasilishaji mkuu, ndiyo umekuja kivingine.
Kuweka vizuri mambo, embu ngoja nikuulize, kama ukristo ni dini ya wajinga kwa sababu ulizoziainisha, je ni dini gani ya wenye akili ambayo ni nzuri kuifuata ambayo haina longo longo kama hizo?
Anataka aitwaje Sasa?....Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasaYa kwenu yanawashinda ya Shusho mtayaweza?
Mlivyo na hasira utadhani yanawahusu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watumishi Donatila Mademoiselle Rabbon semeni kitu...Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa 5newsTZ.View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Ukishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...Kweli kabisa!
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe😅😅😅[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa
Huyo na masanja ni wale wale,
hawezi kuwa mchungaji, mume wake alihangaika kumpeleka hata chuo cha uchungaji dodoma pale, akasoma miezi kadhaa akaacha. siku hizi huwezi kuwa mchungaji kama hauna cheti cha kisomo kuwa mchungaji. nadhani ndio maana hataki kuwa mchungaji. hata huduma yake kama wakifuatilia watajua ipo kimakosa,labda kama kanunua cheti au amesoma online au kisirisiri. wanaomjua wanajua wanalijua hili.Hivi, akiwa kama mchungaji, ATAFUNGISHA NDOA?
acheni kusingizia kila kitu walokole, sio wote walokole.Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho
Hii sio Coincidence kuna shida mahali.