Ndo maana nasema muda ni mwalimu,Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...
Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
Mtu wa Mungu akianguka, tumuombee na sio kumsema vibaya...Ndo maana nasema muda ni mwalimu,
Ingawa Kwa wenye AKILI tayari tunaweza kutabiri mwisho wake kutokana na viashiria anavyoonyesha.
kwahiyo anafanya na nani tendo la ndoa,amalizie na iyo sentensi. shetani amewajaa na ndiye atakaye waumbua, ni muda tu.Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...
Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
acha kuchafua wanyakyusa ndugu, huyo ni mtu wa mkoa wa kigoma huko.Atafungisha wanyakyusa wenzake na watu wapendao jamaa hizo za kanisa
Ukiwa karibu sana Mungu Wala tendo la ndoa huwazi...narudia karibu...kwahiyo anafanya na nani tendo la ndoa,amalizie na iyo sentensi. shetani amewajaa na ndiye atakaye waumbua, ni muda tu.
Mariamu Magdalene( wengine wanamwita Magdalena) ni yule mwanamke ambaye tunamwona kwenye biblia akitolewa pepo saba na Bwana Yesu..Tena alikuwa na dhambi biblia inasema, sembuse kuacha mume kitu kidogo hicho, hajamuacha kwa kuwa na mume mwingine...anafanya kazi ya Bwana...
Acheni kukariri, ndoa usipokuwa nayo makini unaweza usiuone ufalme wa Mungu...
Sorry..acha kuchafua wanyakyusa ndugu, huyo ni mtu wa mkoa wa kigoma huko.
asije kukudanganya mtu, Mungu alituumba na hisia kwa makusudi, na zipo miilini mwetu. kama ulivyo na hamu ya kula chakula, njaa inauma, hata tendo la ndoa kama umri wako unaruhusu kama kina shushu, utakuwa nazo sana tu. tunachoogopa, mchungaji mara nyingi kazungukwa na diamond na vivulana hivyo, msimtetee sana, video zisije kuja kumuumbua siku moja, sheteni ni mjinga ajabu huwa anakuvuta unafikiri upo salama kumbe anakutafutia kituko. mambo yote tunayofanya sirini kuna siku tu huwa yanawekwa peupe, na hii ni kwasababu Mungu ni wa kweli, sio fake, na njia zake huwa sio feki na haitaji wewe ufeki kitu alafu useme ni yeye.Ukiwa karibu sana Mungu Wala tendo la ndoa huwazi...narudia karibu...
Kwa kauli hii huoni unapingana na Mungu alieamuru zaeni na kuongezeka?Ukiwa karibu sana Mungu Wala tendo la ndoa huwazi...narudia karibu...
Mtu aliyejazwa Roho mtakatifu, haanguki Kwa Bahati mbaya, Kila hatua apitayo, anaijua vizuri.Mtu wa Mungu akianguka, tumuombee na sio kumsema vibaya...
Mungu atusaidie.
Thread Closed!!Kahaba..........
Huyu dada ni Mchawi mwandamiziMwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Wanapenda picha za harusi. Sio kuwa hawapendi ndoa bali ni kwamba wanawake hawana malengo ya mda mrefu kwenye maisha yao na huu ndio udhaifu wao mkubwa.Wanawake nao wana uhuru wao.
Kiuhalisia wanawake hawapendi ndoa.
Siwezi kuishi karibu na mwanamke katika maisha yangu.Wanapenda picha za harusi. Sio kuwa hawapendi ndoa bali ni kwamba wanawake hawana malengo ya mda mrefu kwenye maisha yao na huu ndio udhaifu wao mkubwa.
Alivyo kuwa binti alitamani sana ndoa lkn baada ya kuolewa ana tamani life style aina nyingine tena.
Sasa hii sio kwenye ndoa tu bali ni kwenye maisha yao yote, mfano mnaweza kununua kiwanja kama familia lkn kabla hata ya kuaza kununua tofali atakuambia anatamani gari wakati huo labda yeye ndio alitoa shinikizo kubwa kununua kiwanja.
Kwahiyo hawa watu inatakiwa kuishi nao kwa akiri, yaani ujue udhaifu wake ndio utembelee humo
Sawa, Mange Kimambi yupo utakuja kuaibika siku hapa nitakufufulia hili kaburi.Ukiwa karibu sana Mungu Wala tendo la ndoa huwazi...narudia karibu...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Anataka single again ili afanikiwe kwenye mambo yake, je akiwa mchungaji halafu single na Yale mambo yakimkaba je au ndio ushangazi wa townMwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana.
Mungu ambariki sana.
Dada hilo litakuwa nilitamu balaa vyumba vina Siri Nini kampa mpaka mbongo fleva kukubali kuletwa kanisaniMumewake saizi ni Diamond 🤣🤣
You said it all!Ukishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...
Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...
Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...
Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...
Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...
Mambo ya Rohoni zaidi