Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Watu kama wewe mnaonekana mnapenda kuwapangia watu wengine namna ya kuishi Maisha yao, Kila mtu ana uhuru wa namna ya kuishi Maisha yake anavyotaka, kuitumia mungu au fantasy za hidden society ili wengine waonekane wabaya ni mambo ya kishenzi kabisa, ishi Maisha yako ya wengine waache wenyewe waamue wanataka kuishi vipiKauli kama hizi siyo za kufumbia macho, hawa wanakuwa wanatumwa na hidden society kuharibu taasisi na jamii, hivyo ni wa kumkemea kwa njia zote.
Hakuna wito wa kuvunja Ndoa pia hakuna Mungu atakayekupa ndoto za kuvunja ndoa yako ili ukamtumikie huyo ni sheitwan bin ibirisi.
hata shusho anaweza kuolewa tena kwa jinsi sasa alivyonona na kuvutia kapendeza sana. Flora na upendo kilahiro walioolewa tena. Kuolewa ni lazima waolewe tu iwe wazi au siri, bado wanawakwa tamaa za miiliAngel Bernard ana kismati ya kuolewa kaolewa huko USA BABY na mjeda mwaka sasa
una maadili ya ndoa? Mila/dini? Ndoa iheshimiweKila mtu huitwa kivyake...
Sio lazima wawe pamoja...
Ikumbukwe Kila mtu hapa Duniani anakazi ambayo amepewa na Mungu kufanya.
Ndoa ni mambo ya Duniani tu.
kwa hilo la kutimiza ndoto/malengo yake nje ya ndoa kazingua/kapotosha ukweli wa ndoaUshawishi wake kwa wanandoa unapotosha pakubwa najua kila lifanyikalo lina Shelia na katiba yake na tukiingia kisimani kuna vitabu vitakatifu je yeye hayo aliyafanya kwa mjibu wa maandiko au ni mihemko yake tu,je waumini atakawowaongoza nawe watamani waachiwe ili wakatimize ndoto zao
upuuzi mtupual Islam diina
we dada unalinganisha vitu viwili visivyolingana. Shusho kama angekuwa na wito huo tangu mwanzo asingeingia kwenye ndoa, angeendelea na maono yake ya kumtumikia mungu, acheni kupotosha ukweliUkishamjua YESU kila kitu unaona kawaida, kiu ya kutaka kumjua zaidi ni zaidi ya kiu ya maji...
Tunaweza ona Christina alifurahi kumuacha mumewe ila hakufurahi, ila Yesu akikuita utamfuata tu...
Sio rahisi haya mambo kama watu wanavyodhani...
Fikiria vile Maria alivyopata mimba kwa uwezo wa Roho Mtakatifu alafu alikuwa na mchumba wake Yusufu...
Yusufu alitaka kumuacha kwa Siri Mariamu ila akapata maelekezo kwa Mungu hakumuacha...
Mambo ya Rohoni zaidi
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya mawe
upendo nkone apewe maua yake, kailinda imani mpaka Mungu akamjibu haja zake, kalinda ushuhuda wakeacheni kusingizia kila kitu walokole, sio wote walokole.
rose.....muanglican
muhone....mlutheran (akama nimekosea nisahihisheni)
angel....mrutheran tena mwakasege ndio anaita babake kiroho
bukuku (mlokole wa zamani)
shusho (mlokole wa zamani)
mwaipaja(mlokole wa zamani)
acha ujinga wewe, elewa mukhtadha wa ndoa, kwa nini aliingia kwenye ndoa? Asingeolewa akafanye huduma yake isingekuwa nongwa, ni tamaa tu anayoWatu mnahasira na Christina aiseeh!
Kwani ndoa ni lazima ?
Haya Yesu alimuoa nani ?
Hao watawa, mapadre wameoa na kuolewa na nani ?
angekataa tangu mwanzoni haki yake kukataa ndoa.
unamlinganisha yesu na shusho aliyeolewa na kuzaa! Akili gani hii?Yesu alimuoa nani ?
huyo mama ana tamaa, tamaa ni dhambi na anguko lake ni kubwaKwamba unamwacha mume Ili ukashirikiane na mondi kuandaa matamasha?
ni kweli, huyu dada anasumbuliwa na tamaa za ujanani, kapendeza/kanona na anavutia kila mwanaume mwenye kujua urembo wa mwanamke. Ngoja akizeeka atatulia kwenye ndoa yake mpya atakayoipata uzeeniHayo yote wanayoringia ni ujana tu ,huo umaarufu kuna kipind unaisha kabisa maana hata mvuto unatoweka.
Walikuwepo wakina Luiza Mbutu kweny dansi wapo wapi sasa? Washakuwa wazee hata kupiga picha ni mtihani.
Ujana unapita tu ,wengi waliamua kutulia na kuolewa ila wana pesa zao maana mda wa kuringa hautakuwepo tena .
umemuona alivyopendeza na kuvutia mwanaume anayejua mvuto wa mwanamke? Tukisema akina diamond ndio watakuwa wanampa tendo hilo hatutakosea. Dada mwenyewe yuko vile anavutia na yuko huru hana mume, nafasi iko wazi atapatikana wa kuijaza wa siri au wazi.atuambie, tendo la ndoa kwa umri wake huu, anafanya na nani? na tunamwona anazungukwa na vijana watanashati, kina diamond na wenzake. au hana hamu kabisa? manake sisi tuliookoka huwa tunafanya tendo kwenye ndoa tu, yeye anapomwacha mumewe ambaye ndiye mwenye haki kumfanya, anafanya na nani?
Kikwazo kwa maendeleo kivipi? Kama kudanga ni maendeleo basi wengi tutakuwa vikwazo haswaa!Wakati mwingine sisi wanaume ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake zetu.
msajili wa vyama vya kijamii, wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Kama anaanzisha kanisa lake jipya atalazimika kuwa na cheti cha uchungajiKuna chombo kinachofuatilia kama ana cheti au hana?.