Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Hii imeendaπŸ˜‚
 
Wengi hapa mahusiano yao yapo juu ya maweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Ila kiukweli ukiwa mwanamke kama una ndoto/malengo yako ni mara chache sana kutimiza ukiwa kwa mume.
So Shusho is right atimize ndoto zake...maisha ndo haya haya
Ukiwa na mume mkashirikiana mbona unaishi ndoto zako tu. Tatizo ndoto zenyewe sasa unakuta mtu anataka uhuru wa kudanga πŸ˜‚
 
bado anayo nafasi ya kuomba toba, shetani kamteka na mwisho atamfedhehesha kama hataomba toba
 
Njaa mbaya sana, kwahio aliolewa ili ajiondoe kwenye umasikini. Sahizi kapata umaarufu zaidi na vichenchi kaona amtupe mwamba. Wanawake wanafiki sana aisee!
 
Upo sahihi kabisa yani, kujiendeleza ama kufuatilia ndoto zako hakuna uhusiano na kutengana. Yeye ana sababu ingine ila sio hio aliyoitoa.
 
Uzuri ni mwanamke wa KIHA hao wakishajanjaruka na mji huwa wanapenda hela kinoma. Mostly huwa malaya tu sababu wanapenda kuhongwa.
 
Kikwazo kwa maendeleo kivipi? Kama kudanga ni maendeleo basi wengi tutakuwa vikwazo haswaa!
Hapana mzee sizungumzii malaya wadangaji. And lets not generalize.

Unaweza anza mahusiano na mwanamke ukakuta ana shughuli fulani na ana ndoto nayo ya kwenda nayo mbali. Sasa mwanaume ana muoa anakua abusive na anazuia plan zake kukua ambazo kimsingi ni za manufaa kwa familia yote. Dunia imeshuhudia mf historia ya Tina turner kwenye ndoa yake ya kwanza ilikua impoteze kwenye muziki. Wapo wanawake ambao waume zao wamewasupport wake zao na still ni respectful kwa ndoa zao, mf Yvonne Chaka chaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…