Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Mwanamke ukimtoa shamba umlete mjini, hesabu huyo sio wako tena. Ndugu yangu alimuoa mke kutoka kijijini akamleta mjini alipojanjaruka akachukuliwa jumla na matapeli wa mjini. Tapeli kakaa naye hadi alipofariki, jamaa hata hakujjishughulisha chochote na mambo ya msiba.

Ogopa sana kuoa mshamba kjijini na kumleta mjini. Utaibiwa mke misa ya kwanza tu.
 
UKO SAHIHI SANA,
NASIKIA NDOA ZA WALIO OA WABUNGE, NYINGI ZA MOTO SANA.
Hatari sana. Sasa ukute umeoa mwanamke;

1. ana hela kukuzidi

2. ana cheo kukuzidi

3. ana shule kukuzidi

Wa hivi kuweza kuhandle ndoa ikamuendea vizuri ni wachache sana. Sema nini, na wanaume sisi, kuwa na mwanamke wa hivi, hata asiposema chochote, huwa tuna ka-inferiority complex flani hivii..!!
 
angesema ameachana kwa talaka nako ingekuwa shida pia maana angepoteza wasikilizaji wa nyimbo zake walio wakristo akaona aseme ameachana na ndoa ili kumtumkia mungu wapenda mungu waendelee kumsikiliza
 
Yupo huru sasa,wahuni wanajisukumia tu,Hakuna Mchungaji hapo asidhalilishe jina la Kristo
 
Kwenye kanisa lake anafundisha mafundisho ya ndoa? Kwenye ilo kanisa lake anafungisha ndoa? Kama anafungisha ndoa anatumia biblia gani kufungisha ndoa?

Kama hana ndoa na ni mchungaji maana yake ana hawala yake anaemtafuna!! God have mercy.
 
Huyo naye alitikisa anga ya waimba injili alipoleta za kuleta kwenye ndoa yake. Saivi anaonekana kama kahaba fulani hivi japo alipata kibenten
Kwani huyu si alifariki mkuu?
 
Kwenye kanisa lake anafundisha mafundisho ya ndoa? Kwenye ilo kanisa lake anafungisha ndoa? Kama anafungisha ndoa anatumia biblia gani kufungisha ndoa?

Kama hana ndoa na ni mchungaji maana yake ana hawala yake anaemtafuna!! God have mercy.
Hata Lwakatare aliasi ndoa lakini alikuwa anafungisha ndoa na alikuwa akiwaasa wanawake kutulia kwenye ndoa zao na walikuwa wanamuelewa bila tatizo. The same case applies to Shusho na maisha yanaendelea.
 
misalaba ni alama za mashetani ndo maana hata masonic wanazitumia na wasanii wanazitumia piah huwa nashangaa kuyaona makanisan...........watu wengi hushindwa kutofautisha msalaba (kama kifaa cha mateso kilichotumika kusulubu) ...na neno la msalaba.........ila itabid niudhurie hapo kwa shusho siku 1 nikajionee live bila chenga kama kwel kuna mambo mazur hvo ya vimino
 
imeshakuwa fasheni mkuu wangu, hali ni tete kwa kweli huko mbeleni kutakuwa na jamii ya ajabu isiyo na maadili ya ndoa na familia
 
we dada unalinganisha vitu viwili visivyolingana. Shusho kama angekuwa na wito huo tangu mwanzo asingeingia kwenye ndoa, angeendelea na maono yake ya kumtumikia mungu, acheni kupotosha ukweli
Maono yalikuja akiwa tayari kwenye ndoa mkuu. Mwacheni ayatimize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…