tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
- Thread starter
- #501
Mwanamke ukimtoa shamba umlete mjini, hesabu huyo sio wako tena. Ndugu yangu alimuoa mke kutoka kijijini akamleta mjini alipojanjaruka akachukuliwa jumla na matapeli wa mjini. Tapeli kakaa naye hadi alipofariki, jamaa hata hakujjishughulisha chochote na mambo ya msiba.Wakati ukute ndio mtu alomleta mjini 😆😆
Ukute amemtoa Kasuru huko porini.
Au kama wali kutana kimjinimjini hapo thawa.
Zamani wanaume walikuwa wanaoa makwao huko vijijini,
Mwanamke analeta hata ku-flush choo hajui anafundishwa, kutumia jiko la umeme hajui, usafi wa Nyumba kupiga deki hajui, kusafisha choo hajui, n.k
Yanni full mshamba.
Kuna wanawake wanaume zao wamewatoa mbali sana yawapasa kuwaheshimu na kuwashukuru siku zote.
Lakini sasa wakishajua ya mjini huwaambii kitu 👌👌😅
Ogopa sana kuoa mshamba kjijini na kumleta mjini. Utaibiwa mke misa ya kwanza tu.