Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

ni mpuuzi, kiburi na majivuno hakijawahi kumuacha mtu salama, ajiandae kisaikolojia kwa kitakachomtokea
 
ni kweli, huyu dada anasumbuliwa na tamaa za ujanani, kapendeza/kanona na anavutia kila mwanaume mwenye kujua urembo wa mwanamke. Ngoja akizeeka atatulia kwenye ndoa yake mpya atakayoipata uzeeni
Kwani Dayamondi anadumu na mwanamke mkuu? Naye ipo siku atambwaga tu kama alivyowabwaga wengine.
 
Nampongeza kwa uwazi wenye mashaka. Wanaume wakatoliki ndoa zao zinadorora na kisha kuvunjika kwq sababu ya WAWATA lakini wako kimya. Kanisa katoliki wamewapa WAWATA uhuru mkubwa dhidi ya kuwepo kwa ndoa zao na kuathiri ndoto za waume zao.
he! Kumbe huko ukatolikini nako kuna ukuda huu? Sasa ni wapi pa kuponea ndoa?
 
Hata Lwakatare aliasi ndoa lakini alikuwa anafungisha ndoa na alikuwa akiwaasa wanawake kutulia kwenye ndoa zao na walikuwa wanamuelewa bila tatizo. The same case applies to Shusho na maisha yanaendelea.
Aisee!! na anatumia biblia kufundisha? Unamaanisha yeye reference yake ni Rwakatare na sio kilichomo kwenye biblia?
God have mercy!
 
Ni dhambi kumshudia mtumishi wa mzungu au mtu yeyote uongo.
Unless unaweza kuthibitisha pasina shaka!
uthibitisho gani unaohitajika wakati yeye mwenyewe kasema kusudio lake? Acheni kuremba dhambi wacha abebeshwe lawama
 
Conclusion yako ni ipi sasa mkuu?
 
Upo sahihi kabisa yani, kujiendeleza ama kufuatilia ndoto zako hakuna uhusiano na kutengana. Yeye ana sababu ingine ila sio hio aliyoitoa.
Huyo ni malaya kama malaya wengine na hawa ndo wanaharibu wake zetu ni kuwakemea kabisa na mm mke nimeshafuta nyimbo zote za hilo puuuzi.
 
Ni Kweli usemacho,

Mariam Magdalene hatuambiwi kokote kuwa alimwacha mumewe.

Na ni UKWELI kuwa, hakuwa mmoja wa mitume, Bali mashirika katika kristo katika kusaidia mambo mbalimbali.
macho ya rohoni yapo kitabu gan ktk biblia?
 
Wanasema katika ukristo mume anatoka kwa MUNGU au?
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Ukitaka kuvuruga mwanamke mpe umaarufu
 
Wanasema ana date na Dayamondi. Lisemwalo lipo mkuu.
Sizani.
Nafsi yangu inakataa kuamini hata kidogo.

Asingeambatana nae wazi wazi vile ktk hali ya kawaida.
Mwanamke akishatoka kwenye ndoa hata akipata mwendani wake atatoka kwa staha na kificho ktk kujiheshimu.
Diamond ni homeboy wake tu na nia ya kuimba as pale ilikuwa ni njema ktk kuwafikia kundi fulani kwenye jamii ambao wanaenda kwenye matamasha ya Diamond lakini kanisani hawaendagi. Hata Mtume Paulo alitumiaga aproach hiyo pia wakati wa kueneza Injili.
 
Sijui hata kanisani kwake anawafundisha nini? Kwamba mkitaka kufanikiwa muachane na wanaume?
Ndio. In short, vijana wa kike wanazidi kuonyeshwa kuwa mwanaume hana umuhimu na vijana wa kiume wanakazana na kataa ndoa. Miaka 30 ijayo tunategemea wawe baba na mama wa kizazi kipya kijacho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…