LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
ni mpuuzi, kiburi na majivuno hakijawahi kumuacha mtu salama, ajiandae kisaikolojia kwa kitakachomtokeaBila akili, nguvu, busara, juhudi na mali za mume wake (Pastor Shusho) huenda leo hii hakuna mtu angekuwa anamjua Shusho kwa level ile ya umaarufu wa kuimba. Kwa sasa Christina Shusho ameamua kuizamisha boti (ndoa) iliyombeba kumsafirisha katika bahari yenye mawimbi mengi akiamini boya (umaarufu) litamsaidia kusafiri mbali.
Muda ni mwalimu mzuri sana.
Tusubiri zaidi.